Smartphone

Smartphone

Nashkuru mkuu staki kubakia na balance

1394208194377.jpgMkuu chukua hii Samsung Ace 3 hutajuta, bei yake haizidi laki nne.

OS 4.2.2
Display "4"
1 GB RAM
4 GB ROM
5MP CAMERA
Dual-core 1 ghz cotex- a9.


kwa hapa hata unipe tecno phatomA+ sipokei ng'o!
 
View attachment 143406Mkuu chukua hii Samsung Ace 3 hutajuta, bei yake haizidi laki nne.

OS 4.2.2
Display "4"
1 GB RAM
4 GB ROM
5MP CAMERA
Dual-core 1 ghz cotex- a9.


kwa hapa hata unipe tecno phatomA+ sipokei ng'o!


Ila nimempata Chief - Mkwawa - kwenye thread moja anaisifia sana
Sony Experia m nadhani itanifaa maana ina ram kubbwa japo camera ni 5MP
 
nimesikia huawei p6 kama sijakosea naweza pata kwa bei hiyo
hehe mkuu i am sure ulimaanisha huawei p2 au huawei u 9200 ina hizo specification ..
p6 used kwa mtu hakuachii chini ya laki 6.
dukani laki 8:love:

p6huawei ni rival phones ambazo zimekua designed kwa ku compite na iphone 5, samsung s4 (( hizi zote used bei huchezea laki 6))
 
We bora utunze hela zaidi kidogo ufike angalau kilo tano na nusu uvute Google LG Nexus 5 ambayo inazidi hizo specs zote ulizotoa hapo.
 
Back
Top Bottom