Akhsante chief but hii S3 kioo chake vipi?ikiwa na corning gorilla glass itakuwa magoli zaidi,ngoja nijaribu ku-google.nunua galaxy s3 (mint condition), galaxy grand(mpya), galaxy nexus
ila narecomend galaxy s3.
sababu ni kwamba ina uhakika wa kupata android 4.3 na kitkat pia itapata hivyo hutakua bored na simu yako
Akhsante chief but hii S3 kioo chake vipi?ikiwa na corning gorilla glass itakuwa magoli zaidi,ngoja nijaribu ku-google.
Techno M3
Kwa umasikini wa kitanzania inafaa kwenda sawa na maGalaxy
Hii ni ingizo jipya baada ya Techno F7
Screen ndogo lakini inapiga mzigo haswaa..@less than 2 kiloz
Techno M3
Kwa umasikini wa kitanzania inafaa kwenda sawa na maGalaxy
Hii ni ingizo jipya baada ya Techno F7
Screen ndogo lakini inapiga mzigo haswaa..@less than 2 kiloz
nunua tecno f7 hutojutia pesa yako,achana na simu za gharama za galaxy.hakuna cha maana ilicho nacho ghalaxy
Akhsante chief but hii S3 kioo chake vipi?ikiwa na corning gorilla glass itakuwa magoli zaidi,ngoja nijaribu ku-google.
nunua tecno f7 hutojutia pesa yako,achana na simu za gharama za galaxy.hakuna cha maana ilicho nacho ghalaxy
f7 laki 4.5 hadi 5 hii sio gharama? wakati kwa hela hio hio unapata galaxy yenye specs kubwa kushinda hio tecno.
wabongo sjui mtazinduka lini
F7 laki 4.2.. ndio bei tunayouzia....