mule mule sababu bei hzo unapata galaxy grand, nexus ni chini ya hapo, ukiongeza kidogo unapata s3
jaman mbona hamzizungumzii sony experia! Zinashida ktk matumizi?
Tatizo hazijaenea sana, ila ni kati simu nzuri sana na hazina manjonjo ya kipuuzi kama samsung.
Mwenzenu kassema ana laki tatu sasa nyie mnamweleza vya mara milioni na ushee mara laki sita......Nunua valuable brand I phone 4s laki sita mpya unapata nipm nikupe
Nunua HTC M8 hutojutia!
Mkuu ni bei gani hiyo htc m8?
1.2ml jombaa!!