Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone so sina ufahamu mkubwa kwenye hizi simu!
Naombeni ushauri!
Kwa soko la kariakoo ni simu gani nzuri kwa bei hiyo? Najua kuna watu wameshazitumia sana na wanajua ni ipi nzuri na ipi si nzuri
so u ar wellcome for an advice to me please!
Si used. Nilinunua zanzibar, mlengwa hajaichukua, so ipo tu wenye kiboksi chake na kila kitu
- Huawei Ascend Y300-0100 , Zinauzwa 195,000 (za tigo) , plus 20,000 ya unlocking =(Jumla) 215,000/-
sitaki used mkuu!
Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone!!! so sina ufahamu mkubwa kwenye hizo simu!
...
Si used. Nilinunua zanzibar, mlengwa hajaichukua, so ipo tu wenye kiboksi chake na kila kitu
.
Usipende kukalili kijana sio kila mtu kaja kufanya utani humu ndani..... Ndo mana unapewa jibu kama hili
.
.