Smartphone gani nzuri kwa 200,000-250,000 kwa kariakoo?

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,281
Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone so sina ufahamu mkubwa kwenye hizi simu!
Naombeni ushauri!
Kwa soko la kariakoo ni simu gani nzuri kwa bei hiyo? Najua kuna watu wameshazitumia sana na wanajua ni ipi nzuri na ipi si nzuri
so u ar wellcome for an advice to me please!
 
Si used. Nilinunua zanzibar, mlengwa hajaichukua, so ipo tu wenye kiboksi chake na kila kitu
 
Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone so sina ufahamu mkubwa kwenye hizi simu!
Naombeni ushauri!
Kwa soko la kariakoo ni simu gani nzuri kwa bei hiyo? Najua kuna watu wameshazitumia sana na wanajua ni ipi nzuri na ipi si nzuri
so u ar wellcome for an advice to me please!
  • Huawei Ascend Y300-0100 , Zinauzwa 195,000 (za tigo) , plus 20,000 ya unlocking =(Jumla) 215,000/-
huawei_ascend_y300_black.jpg
 
Zunguka zunguka upate Lumia 520, kama Android nenda kwahiyo Ascend y300.
 
Uliyonayo sio smartphone???

Bora ungesema unahitaji touchscreen phone

Gonga hapa:
Smartphone Definition

A smartphone is a mobile phone that includes advanced functionality beyond making phone calls and sending text messages. Most smartphones have the capability to display photos, play videos, check and send e-mail, and surf the Web...

Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200!
Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone!!! so sina ufahamu mkubwa kwenye hizo simu!
...

#teamwekapicha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom