Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

Smartphone aina ya HUAWEI MATE 20 PRO niuzie

Mkuu ina feture gani hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Main Features:
HUAWEI Honor Play 4G Phablet 6.3 inch Android 8.1 Kirin 970 Octa Core 2.36GHz 4GB RAM 64GB ROM 16.0MP Front Camera Fingerprint Sensor 3750mAh Built-in
● Display: 6.3 inch, 2340 x 1080 Pixel Screen
● CPU: Kirin 970 Octa Core 2.36GHz
● System: Android 8.1
● RAM + ROM: 4GB RAM + 64GB ROM
● Camera: 16.0MP + 2.0MP rear camera + 16.0MP front camera

Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Hawa jamaa (HUAWEI) wako vizuri sana n devices zao, ninafurahia sana huduma ninazozipata hapa kwenye hii HONOR 7C yangu ambayo ninatamba nayo huku kijijini kwetu. Nimepitia comments hapo juu nimegundua monsters za huawei za hatari... Acha niendelee kuongoza ligi huku niliko na haka ka underdog version kangu (7C). Nikiwa mkubwa (msimu wa mavuno ukifika) nitasogea sogea kwenye much sophisticated versions. Kila la heri mtoa mada, binafsi nimewapenda Huawei baada ya miaka mingi ya utumwani Teknoni.
 
Back
Top Bottom