Smartfone, android phone kwa laki 2

Smartfone, android phone kwa laki 2

Guys naomba ushauri wa simu gan kali ya kununua bajet yangu ni laki 2 mpaka 2 na nusu...natanguliza shukurani

galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno.
 
tecno ni simu za baa medi na wanafunzi wa sekondari,walinzi,mgambo na makondakta
-acha
 
galaxy s2 ndo Simu nzuri kwa pesa hyo..achana na mediatek hzo tecno ,Narudia usinunue MTK yoyote akiongozwa na Tecno.

Mkuu naomba kuuliza nini maana ya na kuna tofauti gani kati ya MTK na snapdragon
 
Back
Top Bottom