Smartfone, android phone kwa laki 2

Smartfone, android phone kwa laki 2

Sawa wale ndugu zako wanaotumia ni mabaamedi????? Acha zarau Mkuu.

Nacheka sana kuona siku hizi wabongo tuna nyodo, eti Nokia tochi ni bora kuliko tecno p5 hahahaha, ni ulimbukeni kwao mkuu..
 
Usinunue used. Pesa nzuri hiyo tafuta simu za Huawei au Tecno ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. Mpya unapata. Usitake makubwa kukiwa na hela fupi, utauziwa vimeo. Hakuna anaeuza simu ili anunue nyingine most of us tunauza kwasababu vimeo tumexhoka.
mkuu unaijua galaxy s2?
 
Kati ya S2 au S3 nadhani unaweza kupata mpya dukani, unaianzisha mwenyewe
Au Huawei zipo nzuri sana kwa bajeti yako

Usinunue Tecno kwa bajeti hiyo wala usinunue simu yoyote used
 
Thanx ngoja nicheck S3 hope iko advanced kuliko S2
 
Kati ya S2 au S3 nadhani unaweza kupata mpya dukani, unaianzisha mwenyewe
Au Huawei zipo nzuri sana kwa bajeti yako

Usinunue Tecno kwa bajeti hiyo wala usinunue simu yoyote used
Huyo anaonekana kwenye huu ilimwengu bado sasa kwa hizo simu ulizo mtajia ataenda apigwe copy( clone) zake atulie bora umshauri vzr. Kumwambia tu s2 au s3 haitoshi.
 
Me nmezoea sana nokia nlianza na E71, E72 saiv E90 but naona ipo too old fashioned! Mambo touch screen...nikilitoa kupokea namba kwa watoto wazuri likionekana tu napewa contact fake
 
Una utani wewe....
 
Huyo anaonekana kwenye huu ilimwengu bado sasa kwa hizo simu ulizo mtajia ataenda apigwe copy( clone) zake atulie bora umshauri vzr. Kumwambia tu s2 au s3 haitoshi.

Ni kweli mkuu
Atafute mtu anayezijua vizuri simu au aende maduka ya kuaminika Posta au kwenye Malls kama mlimani, j, quality center nk ambapo sio rahisi sana kumpiga kama akienda kariakoo
 
Back
Top Bottom