Sasa huyu huyo.Namjua![]()
Huhuhuhu.
Nafuatilia hii series mpaka mwisho. Siruki episode hata moja
Swahiba.Hahaa hata mm nafuatilia karibu tu...
Wasitupigie makelele sasa hata nyuzi za misiba wao ai lavu yu kibaoNdio msiingilie hayawahusu
Mbona couple nyingi tu humu zipo hivyo,kuna ile kapo nyingi demu keshakitembeza humu nadhan wanajua chupi zake zote anazovaa lakin machizi wapo kimya wanafanyiana zamuacheni watu wapeane raha
Tuko pamojaHuhuhuhu.
Nafuatilia hii series mpaka mwisho. Siruki episode hata moja
Jana na leo
alafu natokea mbeya pia ntaachaje umbea
naona umeanza kujichekesha,stress zinapungua taratibuuu, hahahah Magu punguza baba umekaza sana unawabadilisha wanaume nao wanakuwa kama brenda sasa sijui wote tukiwa wanawake, wanaume tutawapata wapi
Shost kuna vichambo heavy huku.Tuko pamoja
Swahiba.
Kumbe upo kipande hii eeh.
Episode ya ngapi vile?
HahahaShost kuna vichambo heavy huku.
Usijisahau uka mquote mtu ha ha ha.
as u can see,drama has begun..Jana na leo
Maisha ni mafupi sana
tafuta bwana akufanyie ma suprisee, akujengee nyumba sio akujengee tumbo, akutunzee ubaki na uzuri wako. Mwenzako kafanyiwa bonge la party, nakushangaa wewe unakodoa tuu na macho kama kinyonga.
Nadhani huwajui wanaume maana yule aliyekubikiri kabikiri wengine kama kumi alafu kakutema kama peremende poor brenda leo unakomalia wanaume eti washenzi.
jiulize aliyekubikiri alikuacha, aliyekupa mtoto akakuacha unabong'aa ukapata mwingine kakufodoa kakuacha tena kaenda kuoa mdogo wako kabisa wewe una shupaza shingo. Alafu unajiona mzuri kumbe huko chini pame derformed alafu eti bado mzuri
Tuogope sisi wanaume ohooo! sisi ni bomu la nyuklia shauri yako we shupaa tuu kama umeingia mwezini
Mfano mzuri huyu hapa 'atoto' akaja na espy.
alafu alivyokuwa na akili wale wale mabesti wake akaendelea nao. mwandiko wake bado unabaki ule ule maana akili ni moja haziwezi zikakaa mbili kichwa kimoja.
nikiwaambia ukweli utasikia nawafuatilia kama ningekuwa nawafuatia ningeshaingia PM na ningewapa na mtongozo.
Badilikeni mpaka wachambeee ndo wanabadilika
mxiuuuu zao
Kwani ww ni mgeni hapa MMUnyie mnauhakika gani wanachoongea hapa ni maigizo tuu,,,
hahah tusi jipya hapa liko wapi, hebu likolezeee nilioneee jamaniiii![]()
![]()
![]()
![]()