Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Vizuri uje naushahidi sio mambo ya kufikirika tu

Kama nilivyosema hakutakuwa na Ushahidi ila Nitakayosame yatakuwa ni kweli na Kuna wahanga mpaka muda huu wanaumwa na Wana Msongo Kwa Maamuzi yao waliyoyfanya wakiamini kuwa JF ndiyo suluhisho la Matatizo yao kumbe ndiko walikuja kujipalia Mkaa. Wapo walioamua kubadirisha ID kwa kuogopa Kujulikana na tena na watu waliowamin na kuwaruhus kuwa ndiyo Chaguo waliokuwa wanwatafuta kumbe wameangukiwa kwenye Israel kuliko alivyokuwa anafikiria.

Kifupi JF kwa upande wa Mahusiano ni Jamvi linaloogiopwa kuliko Face Book au Instagram.. Kuna Waliokimbia Ndoa zao wakidhani humu wamepata Suluhisho Kumbe ni shida.

Kuna waliowakimbia Wachumba zao wakidhani Humu wamepata Wasomi lakini Wameishia Kulia Machozi yasiyokatika
Kuna wengine wamekuwa warokole baada yakuona hakuna tumaini tena Mbele kilichobaki wameamua kujikabidhi Kumcha Mungu

Kuna wengine wambaki wakiwa na Kovu Kubwa la Kusema hakuna wakuaminiwa tena na Kuna Wengine Humu ndani Wadada wametoa hata Mahali, Wamewanunulia Wanaume Magari lakini walichokuwa wakikitegemea kuwa ndiyo Suluhisho likafifia Ghafla.

Kwa hiyo rubii Humu JF ni Sawa na Wale Tunaoishi nao Mtaani.. Kama Hujui Wanaweza kusoma Hapa wanajua ninachokiongea.

Na Wengine Mpaka Muda huu wanauguza Magonjwa Ambayo yametokana na Waliyoyafanya Baada ya Kuaminiana humu JF.
 
No leo sitakuepo mamii na bahat yako umeifunga pm ningekuja tukajadili kwanza kuhusu lile kaburi..
Uwepo bhana.
Wewe lile kaburi silipendi. Ningekuwa Nina delete button. Acha tuu. Linanijazia piemu
 
Kama nilivyosema hakutakuwa na Ushahidi ila Nitakayosame yatakuwa ni kweli na Kuna wahanga mpaka muda huu wanaumwa na Wana Msongo Kwa Maamuzi yao waliyoyfanya wakiamini kuwa JF ndiyo suluhisho la Matatizo yao kumbe ndiko walikuja kujipalia Mkaa. Wapo walioamua kubadirisha ID kwa kuogopa Kujulikana na tena na watu waliowamin na kuwaruhus kuwa ndiyo Chaguo waliokuwa wanwatafuta kumbe wameangukiwa kwenye Israel kuliko alivyokuwa anafikiria.

Kifupi JF kwa upande wa Mahusiano ni Jamvi linaloogiopwa kuliko Face Book au Instagram.. Kuna Waliokimbia Ndoa zao wakidhani humu wamepata Suluhisho Kumbe ni shida.

Kuna waliowakimbia Wachumba zao wakidhani Humu wamepata Wasomi lakini Wameishia Kulia Machozi yasiyokatika
Kuna wengine wamekuwa warokole baada yakuona hakuna tumaini tena Mbele kilichobaki wameamua kujikabidhi Kumcha Mungu

Kuna wengine wambaki wakiwa na Kovu Kubwa la Kusema hakuna wakuaminiwa tena na Kuna Wengine Humu ndani Wadada wametoa hata Mahali, Wamewanunulia Wanaume Magari lakini walichokuwa wakikitegemea kuwa ndiyo Suluhisho likafifia Ghafla.

Kwa hiyo rubii Humu JF ni Sawa na Wale Tunaoishi nao Mtaani.. Kama Hujui Wanaweza kusoma Hapa wanajua ninachokiongea.

Na Wengine Mpaka Muda huu wanauguza Magonjwa Ambayo yametokana na Waliyoyafanya Baada ya Kuaminiana humu JF.

Hawa noma zaidi...kuna Waliokimbia Ndoa zao wakidhani humu wamepata Suluhisho Kumbe ni shida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom