Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Aisee Hawa Wakuu wanajuana Kumbe tena Wanajuana sanaa .. Waombane Msamaha walipo teleza Make huku wanakoelekea kuna Mmoja atadharirika Muda si Mrefu hili Jambo siyo la Kuliacha...
usiwe mgeni na jf, wakizidiwa wanatunga story ili wampunguze makali mpinzani
walete ushahidi kama wanao
nipo jf more than 5 yrs hiki kimbinu nakijua vizuriiiii
 
we si bingwa wa matusi, leo nipo live kujifunza matusi mapya from your dictionary, ban unaiogopa shujaa wa matusi ban kitu gani bana

Hahaha wewe mzuri

my ribs hahaha unafaa kutengeneze kachumbari gani tena?

wazuri walijengewa bustani inayoelea, wakapewa nchi ya misri

wewe mzuri umepangiwa nyumba ya kupanga ukapewa na LED flatscreen, meza ya kioo na sabufa na kapeti chini hahahah poor brenda

umetumika umechakaa alafu unajiona mzuri hahaha ata bibi akikuwa miss akawa madame aka missus aka ajuza leo ata mambo hapati hahaha mzuri wewe

haya wazuri bana siku hizi wakiendaga chooni hawatumii maji, hawanukagi mvundo hahaha eti mimi mzuri my ribs spare them...

kweli wanaume wabaya nimeamini sio kwa kuleta UTI maana akitoka nyumbani anakuwa mwanaume akirudi nyumbani anakuwa mume

poor brenda
 
Aisee Hawa Wakuu wanajuana Kumbe tena Wanajuana sanaa .. Waombane Msamaha walipo teleza Make huku wanakoelekea kuna Mmoja atadharirika Muda si Mrefu hili Jambo siyo la Kuliacha...
Sterling akifa movie imeisha. Halafu sisi tuwatch nini mkuu?
No retreat no surrender
 
Hivi JF kuna Member wazuri Kumbe ? Sikujua Ila Leo nitakuja na Thread ya Kuelezea jinsi Mahusiano ya Humu yalivyowaongezea msongo wa Mawazo kuliko ambavyo wamewahi kutendwa huko Nje. Wengi wao ni wanawake wenye pesa zao , wenye kazi zao, wenye biashara zao, wameacha mahusiano yao ya Kweli na wengine hata Ndoa zao kwa kukimbilia Mahusiano wa Humu kwa kuangalia kupitia comment zao Mwisho wa siku wengi wao Wanaugulia na Magonjwa yasiyokuja Kupona, Sitawataja ila nitaelezea in General.

My Take. Enyi Wadada wanaume wa Humu ni Sawa na Huyo Mwanaume wako unayemuacha hapo Nyumbani na kuja kujifariji huku. Take Care your Man humu hutapata relief unayoiona kwenye art za Miandiko ya wanaume humu ndani, They are different.

Nitarudi na Thread special ya Kuwambaia Ukweli juu ya Hill , Stay Tune.

Akili Unazo aka Msema Ukweli aka Prophetic wa JF


Vizuri uje naushahidi sio mambo ya kufikirika tu
 
Mpaka nimemkumbuka marehemu ibra ndio mabest zake hao
nawaona kabisa haya mambo mimi nilishapitia hapa wanafanya marudio ya zamani sana, sijaona wa kunisumbua zaidi naona matusi yameisha wanatunga story ili niogope, uwiii brenda haogopi kitu humu halishwi na mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom