Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Jisome pale juu ulipotukana alafu jijibu.
Kwa hiyo kumsema ukweli ni kutukana au siku hizi ukweli umekuwa ni matusi
cc brenda18
Jisome pale juu ulipotukana alafu jijibu.
Ntakusaidia kulea tumboKhaaaaaaah!! Utanisaidia kubeba sio unafurtahia tu![]()
![]()
![]()
Kaboom dota is ready, fanya kamchakato basi kabla mayai hayajagoma.

Hahahaaa!! Jiandae kununua mang'ongo tu. Na huyo sasa atakuwa kama mwanao mweeh!!!Ntakusaidia kulea tumbo![]()
![]()
Umewakusanya wanaume wote kwenye kapu moja!Kilichokuonyesha kuwa nimechukia ni nini?
Haha nimepanda mng'ongo kabisa, usijali na uduvi na nguruka utawapata 24/7Hahahaaa!! Jiandae kununua mang'ongo tu. Na huyo sasa atakuwa kama mwanao mweeh!!!
![]()
![]()
![]()
smart amekuzidi nini? vidudu vya watu waenjoy wengine unaumia wewe
cc mahondaw hebu ukuje uone hawa wakaka uliwafanya nini mbona wamekomaa smart?
Hahahahaaaa!!! Mungu jaalia nitoe kichwa kingine.Haha nimepanda mng'ongo kabisa, usijali na uduvi na nguruka utawapata 24/7
alafu natokea mbeya pia ntaachaje umbeaHahahaha eti naumia hahahah kwi-kwi haki ya nani... leo naumiaaa duhhh classmate wangu anachezewa sana hastahili kabisa huyo smart.
tatizo lako unataka upate umbeya maana naona sura imekushuka kama umechunwa ngozi.
umbeya haujawahi kukuacha salama
Hakuna utani huku MMU,ni mwendo wa kudukuana,Ukistuka unabadili ID uonekane mpyaMi hata sielewi,,ina maana ni utani ama wanakuaga na r/ship kweli
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ugumu wa maisha mbaya sana jomoniii, yani huku mi nicheke huko wewe uteme mpaka mate
hii kiki lazima ikutoe, kimjaacho mtu ndio kimtokacho
naona umefungulia bomba la matusi leo, mimi nataka utukane mpaka kisima cha matusi kikauke
haya twende kazi, enhe baada ya hayo una tusi toleo jipya watu tufaidike kaka?
nb:uzuri huo sijui umeuona wapi ila umetabiri vizuri ni kweli mi mzuri.![]()
![]()
pasuka kabisa kwa hasira huko mie leo nipo kuenjoy free entertainment from Aleppo
Hakuna utani huku MMU,ni mwendo wa kudukuana,Ukistuka unabadili ID uonekane mpya
Hakuna utani huku MMU,ni mwendo wa kudukuana,Ukistuka unabadili ID uonekane mpya
NamjuaUnamjua ati.
Au 2015 haukuwa jf?
