brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
weka kiporo na hili plz

weka kiporo na hili plz

Ww hamna mtu uliyecheza nae mbungi humu?!weka kiporo na hili plz![]()
Aiseee ..... ngoja ninywe maji kwanza. Umenifanya nitafakari mara mbili mbili.Neno gani sasa kwa mfano unasubiri? Kama kweli hawa walikuwa na mahusiano basi huyu tayari ni ex na mahondaw ndio present. Na kama ilikuwa public basi hata bibie tayari anafahamu hilo, so sioni tatizo lolote. Bora huyo ambae yake yako public kuliko wale silent killers, mnapangwa na hamjuani.
mbugi ni nini?Ww hamna mtu uliyecheza nae mbungi humu?!
Damn nilikuwa wapi sikuiona hiyo!!! Hao ni wavulana maana kuongezeka umri haimaanishi umekua. Huwa najiuliza ni sifa kujitangazia umetembea na fulani ilihali hata mwenyewe tu kumuona haujawahi hata kumuona!!!
Mi hata ukinisemea uongo, moyo wangu unakuwa na amani. Maana najua ukweli![]()
Mchezo unaopendwa na kila mtu lkn hauna mashabiki uwanjanimbugi ni nini?
Leo umeweka avatar kbs....mashalaahmbugi ni nini?
Geni kaamka nao aisee
ulijuaje maana sio kwa makaburi hayo waliyofukua...Lakini inawezekana ikawa ni 1 kati ya 10 ambayo yapo public....anyway.
Mimi huwa na amani zaidi nikikudharirisha moyoni nakua naburudika
mdogo angu, nakupeleka kwenye maombi soon, nipo serious hahahakuna humu, ajitokeze aliewahi kumkaza mama mtumishiMchezo unaopendwa na kila mtu lkn hauna mashabiki uwanjani

kila siku naweka bana, ulikuwa kipofu niniLeo umeweka avatar kbs....mashalaah
Hamna aliyeona hata upindo wako wa chu.pi?!hakuna humu, ajitokeze aliewahi kumkaza mama mtumishi![]()
Nlikuwa sijaona wacha namm leo nibebike nkuweke profile whtsapkila siku naweka bana, ulikuwa kipofu nini
Haya banaThijuwiii
heheh unataka pm yako ijae leo kwa umbea, kuna wakaka wambea humu shetani mwenyewe anawaogopaHamna aliyeona hata upindo wako wa chu.pi?!
Afadhali maana nlikuwa nataka tufanane
Ntafanyaje sasaMbona unashangaa!!!