Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Yani hata Mimi???Ohooo wanaume wa humu washenzi sana...
Yani hata Mimi???Ohooo wanaume wa humu washenzi sana...
Duh! Sio wote bhana rubii
Post sent using JamiiForums mobile app
Yani hata Mimi???
Hao tunasema ni vivulana mkuu rubi maana mwanaume anaejitambua hawezi kujisifu kwa kula kTeh! umenikumbusha jamaa mmoja hivi alikuaga maarufu enzi hizo tukatongozana tukashindwana akajaanzisha thread na mambo ya uongo 90%
Niliumiaaa !!
wadada wa jf wakawa wanapiga mayowe wakaka ndio usiseme
Nikakumbuka nilikua na file lake nilikua nimerecord simu yake zote nikaziupload ndio ikawa nafuu yangu Kaka akaumbuka na tangu hapo hakutokea tena mpaka leo sijamuona humu...
Tangu hapo nikajifunza kuweka records zote
kuna baadhi ya vijanaume humu sifa yao ni kulala na wadada akishakupa hi basi ushatomb.wa wewe dunia yote watatangaziwa

hihihi hii nilipitwa, mimi nna pm toka day 1 nimeingia jf, zamani nilikuwa naentertain pm
ila siku hizi nakemea mapepo ukinizidi uwezo nakemea tu "OUTTTT, I SEND FIRE!!!!"![]()
![]()
![]()
ukitaka uenjoy jf mambo yote yaishie hapa hapa, huko sirini pm ndio mwanzo wa kukimbia ID

kukemea huko vepe vepeee???? 

duh!!! Umeniacha hoiiiiNakuona mase ushavuta kiti unasubir ubuyu mkuuAiisee watu wamepanic hukulazima tushadadie fukua makaburi, la sivyo jf itanogaje!!!
Ghkaaaa!!! Kutumia majina ya watu inahusu![]()
Aaaghaa wapi, wanaishia kunijua maserati wa jf tu, hakuna mwingine ananijua zaidi ya relato peke ake.Ucopy mbinu hiyo maana rafiki wa jana ndie adui wa kesho
Nakula zangu ubuyu mchochezi dot com, nawachora tu wanavyojihangaisha kupanic,nashaurikwa wale wa kupanic wote panic at your own riskNakuona mase ushavuta kiti unasubir ubuyu mkuu
Okey darling.Ayam weitini
Mbona unashangaa!!!Yani hata Mimi???
Neno gani sasa kwa mfano unasubiri? Kama kweli hawa walikuwa na mahusiano basi huyu tayari ni ex na mahondaw ndio present. Na kama ilikuwa public basi hata bibie tayari anafahamu hilo, so sioni tatizo lolote. Bora huyo ambae yake yako public kuliko wale silent killers, mnapangwa na hamjuani.Hahahaha...dada Rubii naona umeiamkia mapemaa.
Mimi nasubiri neno kutoka kwa yule anayejiita Mahonda sijui Mapikipiki....hahahahha, who took my popcorns?!😳
Aaaghaa wapi, wanaishia kunijua maserati wa jf tu, hakuna mwingine ananijua zaidi ya relato peke ake.
Hakuna hata mwenye namba yangu ya simu humu
MhU said it well, ungeweza kumuita huyo Alepo wako bila kuniquote, makusudi umeniquote ili nione, sikujui hunijui unaongelea mambo ya tamaa, am like wtf!!
watchout kiddo, sina matani na wewe
Damn nilikuwa wapi sikuiona hiyo!!! Hao ni wavulana maana kuongezeka umri haimaanishi umekua. Huwa najiuliza ni sifa kujitangazia umetembea na fulani ilihali hata mwenyewe tu kumuona haujawahi hata kumuona!!!Teh! umenikumbusha jamaa mmoja hivi alikuaga maarufu enzi hizo tukatongozana tukashindwana akajaanzisha thread na mambo ya uongo 90%
Niliumiaaa !!
wadada wa jf wakawa wanapiga mayowe wakaka ndio usiseme
Nikakumbuka nilikua na file lake nilikua nimerecord simu yake zote nikaziupload ndio ikawa nafuu yangu Kaka akaumbuka na tangu hapo hakutokea tena mpaka leo sijamuona humu...
Tangu hapo nikajifunza kuweka records zote
kuna baadhi ya vijanaume humu sifa yao ni kulala na wadada akishakupa hi basi ushatomb.wa wewe dunia yote watatangaziwa
kukemea huko vepe vepeee????
duh!!! Umeniacha hoiiii
akili zangu nazijua mwenyewe,alinichokoza ndio maana nikamwambia namkemea pepo ndani yake sio yeye, ila yeye ni mtu mzuri tu kipepo ndio kilimvaaTuheshimiane ww bintiOhooo wanaume wa humu washenzi sana...
Mi hata ukinisemea uongo, moyo wangu unakuwa na amani. Maana najua ukweliHutaamini pale utakaposikia Smart alimwambia bebe wake kakupitia