Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Kho kho kho hu hu hu hu!!!!!

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Huyu dogo smart ujue nilikuwa simuelewi.
Kwa kauli yake ya kila siku ya inasikitisha
Cc mahondaw.
Aisee wewe kichwa ndio umenifungua ubongo
Jirani nilikumbuka kuna uzi mmoja wa antonio guzmann aliletaga bandiko la kama ulishawahi kufanya mapenzi sehemu hatarishi (sina uhakika kama uzi ndo ulikuwa na bandiko hilo)

sasa smart kaja na swagga zake INASIKITISHA SANA... CC MAHONDAW[\color]
mimi nikajiuliza huyu jamaa wa pekee si angepita kimya kimya ndo nikaelewa kuwa kama angesema alishawahi baka(nakisia tu), siku hiyo angelala nje kama dokta slaa
 
Hapa kuna mawili ukimsoma mwanaume mahusiano yake ya nyuma na ya sasa kwa undani utagundua.
1. Lazima ni huwa ni utani na hajadate na yeyote.
2. Haiwezekani sifa anazomsifia kasinde zifanane na zile lazima kuna kusifiana uongo.
Mapenzi ya jf siyo ya kuyapa umakini.
Kuna couple moja kipindi cha 2015 ilikuwa fire. Yaan mwanamke full kumsifia mume wake. Nashangaa 2016 binti ana Mtu mwingine na sifa anazomwagia ni zile zile. Inamaana basi x wake na wa sasa wamefanana kila kitu.
Kuna siri kubwa ndani ya jf.

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Daaah watanzania kweli tuna roho mbaya yani comment zinathibitisha.
agata, jasiri haachi asili. Hii ndio nature yetu, hatuwezi kuiacha katu asilani.

Kuna forum moja huwa naingia, ni jamii tofauti na yetu, mambo ni tofauti kabisa, mtu aweza kuleta thread ambayo kama ingekuwa kwetu tungemtukana, kumjaji, lakini wenzetu wala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom