Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hahaha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hata ningekuwa mimi ninge mute
Hahaha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hata ningekuwa mimi ninge mute
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani Aleppo leo kaamua
Huyo Allepo hafai hata kwa limaoSakayo na maserati ebu mchukueni ndugu yeni Allepo muondoke naye
Wala kwa sukari [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo Allepo hafai hata kwa limao
Sidhani kama atakuja mitaa hiiNasubiri msimamo wa mahondaw....
Ubuyu uwe mtam zaidi
Clouds na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishasahauu ujue dada
Leo kaamua kutapikaHuyo Allepo hafai hata kwa limao
YaaaniWala kwa sukari [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku yake yajaLeo kaamua kutapika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nikalale yaan wewe hapana aiseeSaint Ivuga
sio kwamba nilikuwa nawafuatilia ila karibia kila nyuzi nazoingia nawaona halafu hawana jipya ata iwe siasa, hoja mchanganyiko, celebrit ni INASIKITISHA SANA, MAHONDAW WANGU USISIKILIZE YA DUNIA, MY KING NACHEKA KWA DHARAU...
Ilikuwa inanikera sana yaani sasa leo siwapumzikii nawachaana mpaka mchanike haswaaa tena siondoki ng'ooo mpaka mbadilishe tabia. Msipobadili basi tena na navyopenda umbeya aisehhhh jiandaeni kupata kiharusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku yake yaja
cc mahondawHabari za jioni mabibi na mabwana wa MMU,
Kasie huyuhuyu mnayemjua na kumuona humu JF propozo imemdondokea na ameafiki kusheherekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya akiwa na Smart911 na hii ndo muendelezo kwa kipindi chote cha mwaka 2017.
Yule jamaa wa we like to party from Wednesday to Friday ndo huyu Smart911 sasa nimekuweka wazi kwenu.
Jana tulikutana karambezi pale sea cliff na tuliondoka hapo sea cliff mchana wa leo yeye akirudi kwake nami nimerudi kwangu.
Kila mtu anajipanga kwa ajili ya safari ya kwenda kusheherekea the festive season. Tutaondoka tarehe 23 na tutakuwa na vituo vingi tuu.
Kiukweli Smart911 amenikosha roho na amenifumba macho sioni kwingine kokote wala sisikii sauti nyingine yoyote zaidi yake. Mmmh si kwa mautamu niliyopata jana acheni tuu.
Kwa nafasi hii nawatakia wana MMU wote heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Asiye na wake aeleke jiwe au mgomba. ..
Peace and Love.
We kaka.Saint Ivuga
sio kwamba nilikuwa nawafuatilia ila karibia kila nyuzi nazoingia nawaona halafu hawana jipya ata iwe siasa, hoja mchanganyiko, celebrit ni INASIKITISHA SANA, MAHONDAW WANGU USISIKILIZE YA DUNIA, MY KING NACHEKA KWA DHARAU...
Ilikuwa inanikera sana yaani sasa leo siwapumzikii nawachaana mpaka mchanike haswaaa tena siondoki ng'ooo mpaka mbadilishe tabia. Msipobadili basi tena na navyopenda umbeya aisehhhh jiandaeni kupata kiharusi
Братан, it's real.Bratan hizi kapoz unahisi zina uhalisia?...Mi nadhani ni changamsha genge tu za jamvini..
Upo mpk huku[emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie nipo na watu hapa ujue yaan nacheka peke yangu naonekana chiziWe kaka.
Sakayo Shunie yaani mbavu zinaniuma.
Shemela Saint Ivuga nacheka mpaka machozi yananitoka jamani huku.
Halafu nipo air port hapa namsubiri lato latooo
Watu wananishangaa tu
Yaani mi nimemshindwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nikalale yaan wewe hapana aisee
Hata siamini macho yangu mtoto mzuri mwenzangu haya ngoja niwe mtazamaji. Lol.Shoga angu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipo hadi huku nikitazama, udongo watu wanafukua makaburi mtoto mzuri mwenzangu