Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Kwako Kasinde:

Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni Kasinde...
Mioyo yetu tusibadili wangu kipenzi Kasinde tuepuke ushauri Kasinde...

Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpenzi Kasinde...
Na mahasidi wa penzi o Kasinde...
Wa mahasidi wa penzi mpanezi Kasinde...


MV Mapenzi Meli ya wapendanao

Moyo kama Bahari Manahodha mimi na Wewe


Duniani kuna mengi sawasawa na Bahari

Kuna Papa na Nyangumi tena wale wa hatari.....

Hawapendi kuiona Meli yetu baharini

Watafanya kila njia waifupishe Safari...



Ukipata muda leo, njoo Mahaba Beach, Ununio... Evening for Dinner...
Mmmmhhhh salute kijana

IQ standard
 
Lazima aumie.
Lakini hii si ni ex jamani???

Lakini ajipange upya mahondaw ajue wanaume wa aina hiyo wakoje sio wanacheza na hisia zakoo wee wanakutumia weee alafu wanakutupa kule inaniumiza. Mahondaw anajua kabisa amepata mpenzi ila asijigandishe kwake mazima kama kupe kumbe ngozi ishachunwa ni swala la muda tuuu

Pole kipenzi pole sana jua nakupenda na siwezi kukuombea mabaya mahondaw, najua hukunikubali kipindi kile ila bado nimekuchora moyoni mwangu... pole sana classmate jikaze ndo wanaume silent but terrorist
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom