Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Yes labda iwe utani acha watu wakulane kimya tu hata mkiachana mnajua wenyewe tu maisha yanaendelea asante jf kila siku unazidi kunifundisha vitu vipya
Umemuona kakako lakini
 
Hapa kuna mawili ukimsoma mwanaume mahusiano yake ya nyuma na ya sasa kwa undani utagundua.
1. Lazima ni huwa ni utani na hajadate na yeyote.
2. Haiwezekani sifa anazomsifia kasinde zifanane na zile lazima kuna kusifiana uongo.
Mapenzi ya jf siyo ya kuyapa umakini.
Kuna couple moja kipindi cha 2015 ilikuwa fire. Yaan mwanamke full kumsifia mume wake. Nashangaa 2016 binti ana Mtu mwingine na sifa anazomwagia ni zile zile. Inamaana basi x wake na wa sasa wamefanana kila kitu.
Kuna siri kubwa ndani ya jf.

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Hii ndio jf mpenzi
 
agata, jasiri haachi asili. Hii ndio nature yetu, hatuwezi kuiacha katu asilani.

Kuna forum moja huwa naingia, ni jamii tofauti na yetu, mambo ni tofauti kabisa, mtu aweza kuleta thread ambayo kama ingekuwa kwetu tungemtukana, kumjaji, lakini wenzetu wala.
Ila tumezidi jamani yani watu walikuwa wamekaa tayali kusubil siku itokee mapenz ya watu yavulugike duu hahaha
 
Mmmh JF bana kila mtu anapewa sifa kwa muda wake

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom