Smart phone na karaha zake,naomba msaada

Aaron2013

Member
May 8, 2013
47
95
Ni Samsung galaxy note 3,kuna mahali mdogo wangu kabonyeza keyboard haionekani tena badala yake ukitaka kuandika sms ni kwa voice command tu. Wajuzi hebu niambieni nifanye nini kurudisha keyboard?
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,775
2,000
setting then language and input then choose input method then disable hio google voice rudisha keyboard
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom