Smart move by Magufuli! Kuna mtu aliyeliona hili?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
2,987
Reaction score
3,451
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
 
Wakati JPM anamteua Muhongo hakujua kuwa ana kashfa ya Escrow?
 
What makes the difference? MWIZI MWIZI TU MUHONGO JINA TU
 
Magufuli ana akili sana ili wapenda ufisadi they are in denial!
 
Kulikuwa hakuna haja ya kumrudisha Muhongo kwenye nafasi ile.
Raisi Magufuri alichukuwa muda mrefu kuteua baraza la mawaziri,sijui kwanini hakutumia Intel na vyombo mahususi kama tume ya maadili ya viongozi kubaini uteuzi huo.
Mwisho wa siku atajikuta anafukua hata yale makaburi aliodai hatayagusa.Kwani mahusiano na maelekezo ya wahausika yanajirudia rudia mara kwa mara,yanayoweza kumfanya hata bubu aseme, kiziwi kusikia na kipovu kuona.
 
Huoni kuwa kama angekuwa ofisini mjadala ungezuka upya?Lakini kwa sasa kila mtu kashamsahau,its a win by Muhongo!
Kwa hiyo unataka kusema Muhongo aliepushwa na scandal? How is he going to escape now? What about Kitwanga? etc etc?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom