Mkuu,mbona kama hunielewi?Hilo ni kosa ambalo tyari lishafanyika na Muhongo yuko ofisini!How do u do from there?Huo ndio usmart ninaouzungumzia!Sasa u-smart gani uliotumika?
Ilibidi asingemteua kabisa tangu mwanzo, ukizingatia alichelewa kuteua waziri kwahyo alikuwa na muda wa kutosha kufuatilia TAKUKURU kama zile tuhuma bado kesi inaendelea
But its working!stupid move then
Ni aibu kwa JPM kumrudisha kwenye uwaziri mtu ambaye ametolewa kwenye uwaziri kwa kashfa.Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!
JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!
Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!
JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!
Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
Unakosea mkuu, ina maana uzalendo wa Magu umeanza alipoingia madarakani tu, ukumbuke katika ripoti ya kwanza mheshimiwa alisema Muhongo ni rafiki yake sana, kuna uwezekano alimpa cheo sababu ya urafiki huku akijua kuwa jamaa anazurula na skendo kibao.JPM kaja kujua alichemka kwa Prof Muhongo muda umeshapita from there,how do u manage the situation!
Huo sio usmart sasa...Ilo kosa lilibidi lisifanyike maana huyo Muhongo alishatumbuliwa tangu mwanzo, ilibidi raisi atafute mtu mwingine ili awe waziri na sio kumrudia yule yule aliefanya kosa akatumbuliwa.Mkuu,mbona kama hunielewi?Hilo ni kosa ambalo tyari lishafanyika na Muhongo yuko ofisini!How do u do from there?Huo ndio usmart ninaouzungumzia!
U dont know that!
Wakati JPM anamteua Muhongo hakujua kuwa ana kashfa ya Escrow?
Inategemeana na mazingira,kuhusu hili ni "damage control"!...Define SMART MOVE first.
Uko sahahi,hilo ni kosa ambalo JPM alilifanya!Alimteua Muhongo wakati bunge lilimwajibisha,hapo alifanya makosa na pengine alifanya makosa hayo akijua zile zilikuwa hujuma au ajali ya kisiasa tu!Haya tayari kosa lakwanza lilishafanyika,unafanyaje kutoka kwenye hilo bila kelele nyingi??????Ndio hoja yangu ilipo hasa,how do u proceed once u hv known kwamba ulikosea?Hebu jaribu kufikiri,vp kama Muhongo asingetumbuliwa kwenye issue ya makinikia?Leo akina Lissu si wangekuwa wanamshupalia JPM kuhusu Muhongo kwenye issue ya Escrow?Damage yake na taswira yake ingekuwaje kama angemtumbua Muhongo baada ya PCCB kuwafikisha Ruge na Seith mahakamani?Mitandaoni humu ingekuwa ni kumshutumu Rais kwa kutokuwa makini katika teuzi na kudharau bunge,sasa anaumbuka!Hayo ndio yangekuwa majadiliano!Lakini hilo kalimudu,mjadala huo kauzima mapema!Ni sawa na ile issue ya kumtumbua kitwanga kwa issue ya ulevi wakati alikuwa na Zigo la Lugumi kichwani kwake!Sijui umeelewa?Huo sio usmart sasa...Ilo kosa lilibidi lisifanyike maana huyo Muhongo alishatumbuliwa tangu mwanzo, ilibidi raisi atafute mtu mwingine ili awe waziri na sio kumrudia yule yule aliefanya kosa akatumbuliwa.
Ukipitia michango ya humu utaelewa!Ni smart move kwa manufaa yake binafsi!hio ni smart move kwa manufaa ya jina lake au manufaa ya taifa? ilitakiwa asimteue kabisa kuwa waziri coz swala la escrow lilikuwa wazi
Nitakuwa brief;
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!
JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!
Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!
JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!
Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!
Hivi unafikiri mpaka sasa watu hawamshutumi raisi kwa kumteua mtu ambae alishawajibishwa uko nyuma na yeye kwa kutokuwa makini akamteua uyo uyo katika nafasi ile ile na baadae kupelekea uyo waziri kurudia makosa hayo hayo na raisi kupelekea kumtumbua....umakini bado unakosekana na hiyo sio smart move bali ni kujisafisha kwa kufanya kosa ambalo lilionekana wazi kuepukikaUko sahahi,hilo ni kosa ambalo JPM alilifanya!Alimteua Muhongo wakati bunge lilimwajibisha,hapo alifanya makosa na pengine alifanya makosa hayo akijua zile zilikuwa hujuma au ajali ya kisiasa tu!Haya tayari kosa lakwanza lilishafanyika,unafanyaje kutoka kwenye hilo bila kelele nyingi??????Ndio hoja yangu ilipo hasa,how do u proceed once u hv known kwamba ulikosea?Hebu jaribu kufikiri,vp kama Muhongo asingetumbuliwa kwenye issue ya makinikia?Leo akina Lissu si wangekuwa wanamshupalia JPM kuhusu Muhongo kwenye issue ya Escrow?Damage yake na taswira yake ingekuwaje kama angemtumbua Muhongo baada ya PCCB kuwafikisha Ruge na Seith mahakamani?Mitandaoni humu ingekuwa ni kumshutumu Rais kwa kutokuwa makini katika teuzi na kudharau bunge,sasa anaumbuka!Hayo ndio yangekuwa majadiliano!Lakini hilo kalimudu,mjadala huo kauzima mapema!Ni sawa na ile issue ya kumtumbua kitwanga kwa issue ya ulevi wakati alikuwa na Zigo la Lugumi kichwani kwake!Sijui umeelewa?
Inaweza ikawa hivyo,lakini pengine asingemtumbua kama kungekuwa hakuna Escrow mbele!Hamna cha smart move hapo, pure coincidence hiyo!