Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
waooh lakin mi napenda zaid hz i love u,,,because you loved me na my heart will go on.
Kuna wimbo ulikuwa unapigwa radio one usiku kwenye kipindi cha mapenzi unaitwa "Last time we made love" wa Tanya Blount
Huu niliutafuta mpaka nikaupata, ni moja wa nyimbo tulivu sana za taratibu
Nyingine ni
1. When you kiss me Shania Twain
2. Breaking My heart MLTR
3. That's why you go away MTLR
4. That Love Julio Iglesias
Nk
Kuna wimbo ulikuwa unapigwa radio one usiku kwenye kipindi cha mapenzi unaitwa "Last time we made love" wa Tanya Blount
Huu niliutafuta mpaka nikaupata, ni moja wa nyimbo tulivu sana za taratibu
Nk
Mkuu Candle huo wimbo nautafuta sana aisee. Please tupia hata link yake nami niupate ndugu.. Au urushie humu kama vipi...
Kwa wale wa nyimbo za taratibu na romantic tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii.
See ya by Atomic Kitten ndio wimbi unaoimba kwenye playlist yangu sasa
Karibuni