Slow Love Songs Fans

Slow Love Songs Fans

Candle

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
30
Reaction score
17
Kwa wale wa nyimbo za taratibu na romantic tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii.

See ya by Atomic Kitten ndio wimbi unaoimba kwenye playlist yangu sasa

Karibuni
 
Mim napenda sana hiz nyimbo, yaan hata nikiwa na mawazo nahis yanapungua, lakin Mume niliyenae hapend yaan ukiweka tu utasikia hebu toa mikelele yako, bas nimepunguza sana kusikiliza hiz nyimbo, nilivyoona huu Uzi nimetaman kulia
 
Pole sana
 
Everybody is looking for that something
One thing that makes us complete
You find it in strangest places
Places you never knew it could be
Some find it in the works of others....
Flying without wings-West life

Asante mkuuu ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom