Mtoto wako anatumiaje Likizo hii?

Mtoto wako anatumiaje Likizo hii?

Joined
Aug 18, 2026
Posts
21
Reaction score
12
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.

✅ Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.

📖 TUNAFUNDISHA:
🔹 Watoto wa Nursery na Kindergarten
🔹 Primary School
🔹 Secondary School
🔹 Wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada katika masomo
🔹 Watoto wenye mahitaji maalumu
🔹 English Language
🔹 Kiswahili na masomo mengine
🔹 Computer, Music, Swimming na Sign Language

⭐ FAIDA ZA HOME TUITION:
✅ Mtoto anafundishwa kulingana na uwezo wake.
✅ Anapata uangalizi wa karibu kutoka kwa mwalimu.
✅ Anasaidiwa kuboresha maeneo yenye changamoto.
✅ Anajiandaa mapema kwa muhula unaofuata.
✅ Mzazi anaweza kuchagua muda unaofaa kwa mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom