Slow jams - pini ipi ilikubamba


Yeah zote ni kali sana...
 
  • never gonna let u go by Feith Evans
  • all my life by changing faces
  • brown eyes by Destiny Child
  • Don let go by Envogue
  • imagination - Tamia
  • what if - baby face
  • jolly by Dolly Parton
  • incomplete by sisqo
 
Ohhhh Usher

Confession II

Noma sana. Naomba kuongezea kwamba ngoma hii ilibeba jina la Album. Kama kawaida Usher ngoma zake nyingi ametengeneza Jermaine Dupri ikiwemo hii ambayo pia ameandika "co-wrote" na Dupri.

Dupri amekuwa anamuweza sana Usher na ngoma nyingi zimeshinda grammy ikiwemo hii "confession" "My way" ,"You got it bad" isipokuwa "You remind me" ambayo imetengenezwa Bad boy kwa Diddy.

Utamu wa ngoma nyingi za Usher zinanogeshwa zaidi kwenye video ambapo huwa anaacha kuimba na anacheza kwa ustadi na ufundi mkubwa basi huwa ni burudani isiyo kifani. Tazama "Confession" mwishoni pale dogo anavyoshake na Amefican boots zake. Mwacheni huyu dogo ashinde grammy aisee.
 
  • never gonna let u go by Feith Evans
  • all my life by changing faces
  • brown eyes by Destiny Child
  • Don let go by Envogue
  • imagination - Tamia
  • what if - baby face
  • jolly by Dolly Parton
  • incomplete by sisqo

Nimekubali hii list mkuu😁
Kwa Sisqo naomba niongeze hapo "Unleashe the Dragon".
Uwe na siku njema mkuu.👏
 
Usher yupo vzr.. mno huyo Neyo pmj na CB
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…