Mase - Feel so goodWe’ll come back - Mase
Dru hill - Tell meDru Hill- How deep is your love
I hope he dedication ni yangu..... Nimeipokea.Born to make you happy - Britney Spears
Tyrese - LatelyTyrese - How you gonna act like that
Na bado. Tukuwaambia madogo sisi ni kaka zao huwa wanajua ni mikwala sasa wanaona hapa hizi nyimbo mbona sisi hatujawahi zisikia zilitamba mwaka gani.Wakongwe mmetisha Sana[emoji120]
Stutter - Joe ThomasIf I was your man
Hii ngoma ni kiboko.Milestone - I care about you
Hii nyimbo ina hisia kali sana unaweza shangaa unatoa chozi bila kuelewa.Unpretty - TLC
Daaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwamba [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] we jamaa unazijua. Lazima ungoe pisi kali kwa kuzielewa hizi nyimbo. Maana hizi ni za kule R&B chamber of rare flavor.Joe Thomas - Priceless
😍😍I hope he dedication ni yangu..... Nimeipokea.
They don't know - John BYou leave me breathless
Bado sijala mpendwa😂Exactly, dah ila mtoto unajua balaa. Umekula kwanza maana mida ya lunch hii tujue la kufanya?
Utaniuwa leo ujue. Kuwa na huruma. Hizi nyimbo mbona kama tulikuwa tunaishi nyumba moja, are you my Deja Vu?Secret Lovers - Atlantic Starr
Kwenye hii ngoma jamaa amekubali demu wake aliwe tu haina noma mradi asijue.I don't wanna know - Mario Winans
Aaah bobby humu alichakaza aiseee.Sikiliza
Good Enough - Bobby Brown
Umepatia sana112 what if, dru hill holding you,brandy true,Mariah Carey without u,Keith sweet yummy,usher separated
Umetafuta wapi mbona unapatikana?Naona huo haupo eti[emoji17]
Welcome to the family of R&B lovers.Duh huu uzi ndio nauona muda huu na mpaka sasahivi nnavyocomment nimecheki page moja tu lakini kilichonishangaza mpaka naandika comment hii ni kuwa nyimbo zote za comment ya kwanza mpaka ya ishirini walizotaja wadau mm ninazo na nazijua[emoji2955][emoji2955]what a coincidence! Kasoro moja tu ya Last night-Az yet
Mwamba akilalamika sana humu hadi nikahisi ni mwanangu fulani hivi kapigwa kibuti hadi kaamua kutunga ngoma kutoa ya moyoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uncle Sam - I don't ever wanna see you again