Slow jams - pini ipi ilikubamba

What's luv - Fat Joe ft Ashanti

Extrovert kuja hapa
View attachment 2627083
Acha tu aisee,Ashanti alikuwa pisi ya Nelly nadhani hadi leo Nelly anapiga kimyakimya,siku hizi ashanti ana bonge la msambwanda uzee umemkataa kabisa yaan pesa hizi!

Enzi hizo hii ngoma inatoka vijana wa miaka hiyo tulikuwa tunaiga swaga zote za kwenye video kuanzia mavazi,kutembea and everything😀😀hapo Dj khaled alikuwa chawa tu wa Fat Joe kazi yake ni udj wa kundi la kina Fat joe la Terror Squad
 
Hahahah leo hii dj khaled ni Don 19 times from Fat
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…