sleeping giant finally is awake, thanx SLAAA na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sleeping giant finally is awake, thanx SLAAA na CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bulunga, Nov 3, 2010.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  :israel: Ni ukweli usiopingika Lake zone has a role in election, economy ya nchi, all the resources hazikutumika kuendeleza eneo hili, tunayoyaona leo ni reaction ya watu hao, tatizo linakuja last time wabunge wengi wa viti maalum walilalamikiwa sana kuwa kulikuwa na upendeleo kwamba wabunge wengi(viti maalum) walitoka kanda moja , tuna imani kuwa this time kutakuwa na na propotional representation, tunajua kuwa kulikuwa na list ya wabunge viti maalum amaaayo mliipata kupitia kwa ushauri wa watalamu wenu, lakini ningeshauri pia huo sio muarobaini changes can be made tuna tegemea watu kama Regia, rose kamili na leticia nyerere wanaweza rather than some body komu ambaye amekaa kusubuiri viti maalum hope ushauri wangu utakuwana manufaa kwa wapenda maendeleo wa chadema
   
 2. Gottee

  Gottee Senior Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 7, 2008
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Una uhakika kama Komu amekaa kusubiri viti maalum? Ninavyojua Anna Komu alikuwa ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CHADEMA. Ushauri wako ungekuwa na manufaa kama ungekuja na njia sahihi za kuwapata wabunge hao lakini sio kutaja watu wako unaowataka na kuwataja watu wako usiowataka. Niambie Leticia Nyerere ana vigezo vipi ambavyo anastahili kuwa Mbunge? Jina la Nyerere? Au kwa kuwa ni Mkwe wa Nyerere? Acha bana
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  He he hee eeeee, mambo ya kugombea vyeo yameanza sasa kila mtu anataka mtu wake achaguliwe viti maalum. Cha msingi wale wote ndugu waliokuwa wametoka kilimanjaro waondoke this time, hatuwataki kwani waliwekwa kwa maslahi ya kina Mbowe na Ndesamburo.
   
Loading...