Slay Queen ni nani?

 
Dah umedadavua vizuri, Asante[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni KE?
 
Umemaliza kila kitu na naongeza chumvi kidogo uwa wanavaa vile visendo vyenye manyoya na I phone zao wanawekaga cover lina kama vimaskio hivi ha ha ha wapii 2nda?
 
Nakukumbusha kwa Daladala kutoka Buza kwenda kariakoo ni Tzs 400/= na kutoka Buza kwenda posta ni Tzs 400/= sasa Njoo hapa Studio kariakoo nikuoneshe Maslay queen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza na nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedadavua vizuri sana..

Kwakweli mimi pia nimejua kupitia kwako




Kwa maneno machache tutasema


"Slayqueen ni malaya ambao wamekua modified, wanajiuza kisasa na wana IQ ndogo mno kulinganisha na binaadamu ambao wamewahi kutokea katika hii dunia mana hawana mission wala vision, wao wanawaza kujipamba, kuonekanwa na ngono tu basi..

Pia kuna uwezekano hata kupika na kuhandle mume/mwanamme hawawezi ndio maana wanaongoza kuachika na kuwa na vidume vingi kadri iwezekanavyo kwa wakati mmoja"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…