Slay queens ni wale wasichana ambao ni gold diggers, wanao ishi maisha yasio na uhalisia wa maisha yao ya ukweli japo ni wazuri sana wanao mvutia kila mwanaume rijali.
Mara nyingi niwatu wa Instagram na snapchat wakionyesha picha zao wamepiga sehemu za gharama kubwa lakini kiuhalisia wanaishi maisha duni sana.
Hao ukiwatoa wana order Hennessy au Moet vinywaji vya gharama kukuonyesha tu kwamba ni wa high class wakati maisha yao makwao ni duni na wanafanya hivyo ilikujiongezea thamani ya kumchuna mwanaume
Sent using
Jamii Forums mobile app