Slaa will never be the 5th president of Tanzania

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
961
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo Slaa hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.

Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.

Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa.

WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.
 
UKAWA hawaingii ikulu ng'o wataisikia tu! labda wasubiri kwenda kunywa chai Mara mojamoja kwenye vikao vya malalamiko kwa Mr President via chama kubwa haya ukawa semeni ...Hoiyeeee
 
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo babu hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.
Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.
Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa...... WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.

ACT at work
 
Iserve kauli yako unikumbushe October mbulula weeee
 
UKAWA hawaingii ikulu ng'o wataisikia tu! labda wasubiri kwenda kunywa chai Mara mojamoja kwenye vikao vya malalamiko kwa Mr President via chama kubwa haya ukawa semeni ...Hoiyeeee

Naona Leo uko zamu! Unajitahidi kupost pumba kutetea mafisi wenzako ndani ya ccm.
 
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo babu hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.
Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.
Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa...... WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.

We nenda kajiandikishe daftari la kudumu ukapige kura, si kuongea kama herode. Hawapiti au watapita ni kura Za wananchi, usilete hoja kama mwamba ngozi.
 
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo babu hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.
Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.
Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa...... WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.

Nini kimekufurahisha kufikia hatua ya kuanzisha uzi.

Uko uchi kichwani.
 
Tusubiri majibu mwezi wa kumi sio kubwabwaja kama umetumwa.
 
We respect your victory and congratulation prematurely but take it with dignity and respect.
 
Tusubiri majibu mwezi wa kumi sio kubwabwaja kama umetumwa.

Hakika nyie ni wehu. Mnasubiri majibu Wakati Nimewapa majibu hapa. Haya ndio matokeo. Hakuna cha Mbowe, Slaa au Ukawa 2015. Watu wajiandae kisaikolojia
 
October mbali sana. Mimi nakukumbusha sasa. UKAWA itabaki UKIWA mwezi wa kumi. Kwanza wameshaanza kutifuana.

Ndo ajira yako,na uko zam jitahid usije ukapokonywa pesa c unajua unasaidiwa ilusipotimiza malengo ya muajili wako utakiona!!
 
Kwa uchaguzi fake unaosimamiwa na Tume fake, na kusimamiwa na vitengo vya MACCM ikiwemo polisi na jeshi, na uandikishaji fake wa wapiga kura kwa kutumia vifaa fake ambavyo havifanyi kazi kama tulivyodanganywa na Mainterahamwe AKA chama cha mafisadi na wahuni.

October mbali sana. Mimi nakukumbusha sasa. UKAWA itabaki UKIWA mwezi wa kumi. Kwanza wameshaanza kutifuana.
 
UKAWA hawaingii ikulu ng'o wataisikia tu! labda wasubiri kwenda kunywa chai Mara mojamoja kwenye vikao vya malalamiko kwa Mr President via chama kubwa haya ukawa semeni ...Hoiyeeee[/QUOTlE]

Wewe una kura ngapi? Kama wewe ni fisadi hiyo hofu itakuua. Anza kuhama nchi. Kama mlalahoi una mtindio wa ubongo kuing'ang'ania ccm.
 
Kwa uchaguzi fake unaosimamiwa na Tume fake, na kusimamiwa na vitengo vya MACCM ikiwemo polisi na jeshi, na uandikishaji fake wa wapiga kura kwa kutumia vifaa fake ambavyo havifanyi kazi kama tulivyodanganywa na Mainterahamwe AKA chama cha mafisadi na wahuni.

Mkuu hicho ndy kinawapa jeuri ndomana wanajua watashinda tu, refs wao line men wao wa panga matokeo wao lkn kila kitu kina mwisho wake.
 
Back
Top Bottom