Slaa will never be the 5th president of Tanzania

Slaa will never be the 5th president of Tanzania

Wanalijua sana hili Mkuu ila wanajitia hamnazo kujifanya hawalijui na kutaka kuonyesha kama chaguzi zetu ni huru na za haki.

Mkuu hicho ndy kinawapa jeuri ndomana wanajua watashinda tu, refs wao line men wao wa panga matokeo wao lkn kila kitu kina mwisho wake.
 
Hoja za kinafiki kwa watu waliokata tamaa wakisubiri wagawiwe t-shirt na kanga na elf mbili za kupayukia kama unavofanya.

Mnastahili kutoswa baharini maana chuki, choyo, ubinafsi na kujilimbikizia kura na mali ndio mnawaza usiku kucha bila kujali taifa na uzalendo.
 
mmebadilisha tena kauli?? si mlisema haitafika 2015 kabla CDM haijafa??
 
Wewe ni shetani tu subiri kugawiwa T-shirt na kaputula za kijani na njano
 
wana ccm ni mitoto ya makahaba,yamelelewa chooni na kukulia mitaani,shenz kabisa nyambaf zao.yanahongwa chumvi,unga,pilau na buku 7 ili kuuza haki yao ya miaka mitano,siwapendi nyie watu,mnanuka ujinga kama mavi mabichi.
 
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo babu hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.
Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.
Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa...... WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.

nakubaliana na wewe kwani ukawa na chadema kuna wez wa kura wakienda kwa hak ccm ilishaanguka toka 1995
 
Ccm itutese tena miaka 10 tena ijayo iitaniuma sana.
 
Mitazamo ya aina hiyo toka kwenye vyombo vya SERIKALI ndio zinaondoa uhalali wa chaguzi zetu.
 
wana ccm ni mitoto ya makahaba,yamelelewa chooni na kukulia mitaani,shenz kabisa nyambaf zao.yanahongwa chumvi,unga,pilau na buku 7 ili kuuza haki yao ya miaka mitano,siwapendi nyie watu,mnanuka ujinga kama mavi mabichi.

Yaan endapo kungekuwa na ranking ya wapumbavu bila shaka ungekuwa kwenye the highest level. Kwa makadirio ya chini tufanye una miaka 25, kwa umri huo wazazi wako watakuwa na age ya kuanzia forty something. Hata kama wazazi wako wote ni chadema, lkn baba yako mkubwa, shangazi zako na mama zako wakubwa watakua ccm. Je hao ni watoto wa makahaba? Kama ndivyo basi hata we pia.
Endapo umri wako utakuwa chini ya ule niliokadiria sitashangaa kile ulichoandika maana uko kwenye foolish age
 
mmebadilisha tena kauli?? si mlisema haitafika 2015 kabla CDM haijafa??

Wewe ukikiangalia Chadema unadhani kiko hai hapo? Labda HAI jimbo la Mbowe Lakini siyo hai kimaisha. Na ndio maana kinatafuta uhai kupitia UKAWA. The coalition for the not-so-willing
 
Waliofanya urais kuwa fashion ndio kama hivi miaka kumi iliyopita $1 = Tsh 750/- leo hii ni
Ts. 2,040/- huku kila Mtanzania akidaiwa 700,000/-!
Basi kama ni sawa na asiwe ili tushuhugie tena shilling ikifikia 5,000/- miaka miwili ijayo!
Urais ni kazi na sio fashion kama DN wanavyotaka kutuaminisha.
 
Hata chama chenu cha magamba kikitoa watu kafara kwenye maajali. Mtatoka, hakuna uovu usio kuwa na mwisho. Mtatoka tu, na CDM haifi, inaendelea kuchukua mtaa kwa mtaa, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo. Mtatoka tu mpende msipende
 
Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo babu hawezi kamwe kushika dola.
Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa.
Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka.
Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa rais mwaka huu. Wala Chadema kiwe chenyewe au kifoji Ukawa, hakiwezi kuingia ikulu 2015 na kwa kweli taasisi hiyo inayomilikiwa na muendesha disko wa bilicanas pamoja na baba mkwe wake itakufa kabla ya uchaguzi mwingine wa 2020.
Wanywa viroba ni vizuri wangejiandaa kisaikolojia kipindi kile ambapo gazeti la Daily News lilipotoa tahariri, ila wamejipoteza ufahamu. Na mimi narudia kwa herufi kubwa...... WILBROAD SLAA, MBOWE, CHADEMA OR UKAWA Will never, ever rule this country. I rest my case.

the devils wise ! and his will to lead tanzania forever ! we command you FAIL FAIL FAIL YOU CANT INCRIMENT PEOPLE OF TANZANIA FOREVER/ / amen
 
Hata chama chenu cha magamba kikitoa watu kafara kwenye maajali. Mtatoka, hakuna uovu usio kuwa na mwisho. Mtatoka tu, na CDM haifi, inaendelea kuchukua mtaa kwa mtaa, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo. Mtatoka tu mpende msipende

Dua la kuku. Mie huwa nawashangaa sana nyie wanywa viroba na gongo. Hamkubali mnapoambiwa ukweli. Hakuna chama mbadala wa CCM so far kinachoweza kufanya kazi ya kuipitisha nchi katika kipindi cha mpito kama kinavyofanya CCM.
 
Wewe ukikiangalia Chadema unadhani kiko hai hapo? Labda HAI jimbo la Mbowe Lakini siyo hai kimaisha. Na ndio maana kinatafuta uhai kupitia UKAWA. The coalition for the not-so-willing

Endeleeni kujidanganya tu wakati mgonjwa anakaribia kukata roho😀😀
 
Back
Top Bottom