Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Habari ndiyo.

Slaa akaanzishe kanisa na rafiki yake gwajima.

Nchi hii haiwezi kuongozwa na padre hata siku moja.
huu ndo mtazamo wako na uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.
 

mpumbavu huiona njia yake kuwa sawa, lakini mwenye hekima husikiliza ushauri.

Usimwamshe aliyelala ............................
 
Lipumba,Slaa Na Lowassa wote hawafai kusimamishwa Na vyama vyao kwa nasafi ya Urais
 
sisi kina gogo la shamba hatutoshangaa kwani kipindi kilichopita alishinda ccm wakachakachua
Ni kweli mkuu Slaa alishinda ule uchaguzi ila kwa kuwa tume husika ya uchaguzi wote wale wafanyakazi ni ma-ccm, kwa akili ya kwaida kabisa bila hata kwenda darasa la kwanza unategemea wangeweza kumtangaza Slaa kuwa rais ?. Ndiyo maana tunakomaa sana kuwepo na tume huru ya uchaguzi
 
Kama una uhakika hii thread ya nini? Tunajadili nini wakati ukweli waujua? Tulia kijana acha kuwa pacha wa wenye nyota zao za kutabiri!!!!!
Hii thread nimeanzisha ili kuwajulisha na kuwatia moyo waliokata tamaa na mambo ya kihuni yanayofanywa na ma-ccm, kwa sasa UKAWA wameshajipanga kwa kila kitu licha ya kwamba ma-ccm yantumia kila mbinu kudhoofisha upinzani kama vile kuanzisha chama cha ACT, hiyo ni mbinu na mkakati mkali wa ccm kupunguza kula za upinzani
 
Mzee Slaa atakuwa Rais wa UKAWA, sio Rais wa Tanzania. Tanzania ya sasa haihitaji mtu aina ya Slaa.
Ni bora ya Slaa kuliko wa sasa waliopo ikulu, hawana tofauti na vibaka ila tofauti ni kwamba wao wanavaa suti. Nchi gani gani hii miaka 50 haina dira yoyote ndio kwanza umaskini unazidi kulindima kitu kinacho sababisha mpaka mauaji ya watu wasio na hati. Ninyi mliopo kwenye nafasi nzuri kidogo hamwezi kuona uchungu wa ugumu wa maisha kwa watu wengine, una uhakika wa kula vizuri, kusomesha watoto vizuri, hauna ndugu albino hivyo hata haya mauaji hayakuumi kitu. Nawashangaa sana wnaotetea ma-ccm
 
Napenda kutoa maoni yangu kwa muungano wa UKAWA..Msilogwe wala msijaribu kupitisha mtu badala ya Dr Slaa kwenye urais!
 
kwenye kikao cha ndani cha profesa lipumba na viongozi wa CUF hapa Nzega juzi katuambia CUF itasimamisha madiwani kata zote nchini,wabunge majimbo yote nchini,na mgombea urais baada ya kuona hakuna nia njema UKAWA....
 
kwenye kikao cha ndani cha profesa lipumba na viongozi wa CUF hapa Nzega juzi katuambia CUF itasimamisha madiwani kata zote nchini,wabunge majimbo yote nchini,na mgombea urais baada ya kuona hakuna nia njema UKAWA....

mtasubiri sana, mnatamani kweli itokee lakini mwaka huu haitatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…