How come Lipumba ataondoa mgawanyo wa kidini ambao Dr Slaa hawezi?Nahisi Lipumba atawafaa zaidi UKAWA kuliko Dr Slaa... Sababu za msingi ni kuwa Prof amedhihirisha kuwa anaweza kuibadili nchi hii kiuchumi kwa muda mfupi zaidi ... Itaondoa mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wapiga kura ...
Dr. Slaa ana mvuto si kidogo. Lipumba ana element za udini...!
Mkuu yaani bila hata aibu unabisha mchana kweupe wakati jambo lipo wazi kabisa, haya mambo yana siri nzito sana sasa tunapotokea watu kama sisi kuwafumbua macho ninyi msiojua chochote kuhusu hii nchi mnahitaji kuwa karibu na sisi. Kwa taarifa yako sasa kuna siri siri nzito sana ambayo hata nikikuambia utabisha ila utakubali mpaka hujionee mwenyewe. Ccm inataka kumkabidhi nchi mtu kutoka visiwani zanzibar ambaye pia sharti awe mkristo, mrithi tayari keshapatikana na kinacho fanyika sasa ni kuvumisha habari za akina Lowassa kuwa anaweza kushika nchi ili kuwapumbaza akili watanzania wasiojielewa. Usiwe kama mnyama mbuzi unasubiri mpaka jambo litokee ndiyo upate kuhamini kuwa ni kweliNinakuomba sana sana uwe mwangalifu na statements zinazoweza kuchukuliwa vibaya zikaonekena ni sera za nchi na kutusumbua mbele ya safari. Kumbuka hapa, kama ilivyotanzania kuna matabaka mengi sana ya watu. Wapo wanaoweza kuelewa makosa na udhaifu wa msemaji, lakini wapo ambao hawajui kuchambua wao kila kitu wakikisikai kinasemwa hata kama kinavunja katiba na kisheria hakiwezekani, wanashika bango kwamba uliwaambia!. Gharama ya kuwarudisha kwenye msingi, ni kubwa kuliko watu kuzuia ndimi zao.
Tanzania haina utaratibu wa kuchagua viongozi kwa mtindo wa kubadilishana dini.
Hatumchagui mtu kwa dini yake kwa sababu hatutegemei kupata miongozo inayohhusiana na dini za watu. Tunauhuru wa kuchagua dini moja mfululizo ili mradi tunapata kiongozi sahihi anayehitajika na mwenye maono na uwezo wa kukidhi haja za watanzania.
Ingelikuwa ni dini basi hata Wabung wangebadilishana, madiwani, wenyeviti wa mitaa n.k. Kama iingelikuwa ni kanuni ya nchi, mbona zanzibar hawajawahi kuwa na kiongozi wa dini nyingine zaidi ya Waislam?
Tanganyika vile vile haijawahi kuwa na raisi wa dini zingine zaidi ya Wakristo na Waislam? Nani alikuambia kuna kupokezana kidini? Acha kabisa hizo itikadi. Kama ilitokea ilitokea coincidentally tu lakini haipo na hatuwezi kuiweka kuwa ni utaratibu unless tunataka matatiz.
Vinginevyo, ukiondoa hilo la mambo ya dini, naunga mkono hoja.
halafu mke wake anachat fesibuku na wachungaji
How come Lipumba ataondoa mgawanyo wa kidini ambao Dr Slaa hawezi?
Mkuu yaani bila hata aibu unabisha mchana kweupe wakati jambo lipo wazi kabisa, haya mambo yana siri nzito sana sasa tunapotokea watu kama sisi kuwafumbua macho ninyi msiojua chochote kuhusu hii nchi mnahitaji kuwa karibu na sisi. Kwa taarifa yako sasa kuna siri siri nzito sana ambayo hata nikikuambia utabisha ila utakubali mpaka hujionee mwenyewe. Ccm inataka kumkabidhi nchi mtu kutoka visiwani zanzibar ambaye pia sharti awe mkristo, mrithi tayari keshapatikana na kinacho fanyika sasa ni kuvumisha habari za akina Lowassa kuwa anaweza kushika nchi ili kuwapumbaza akili watanzania wasiojielewa. Usiwe kama mnyama mbuzi unasubiri mpaka jambo litokee ndiyo upate kuhamini kuwa ni kweli
View attachment 241426
Dr.Slaa ndo raisi wetu mtarajiwa wasiomtaka wajiandae kuhama nchi .
hayo ni maneno hata kwenye khanga yapo lakini sisi tunamjua huyu ndo raisi wetu mtarajiwa.Atatue kwanza mgogoro na girlfriend wake ndo ajipange kutuongoza
Hivi kumbe ku chat ni dhambi???ulitaka apige simu maana kama anachat unaweza kuona anachat issue gani. Tuache udhalilishaji na personal attacks tujikite kwenye hoja
Poa poa mkuu kwa hiyo umeridhia kubaki na ujinga kichwani mwako ?Kwa kweli kama uelewa wako mkuu ni kujibu kwa kutukana watu, naomba ubaki na elimu yako siihitaji.
Ninachojua Tanzania haina sera ya kubadilisha watu kwa misingi ya dini ila ikitokea ni coincidence ambayo haihitaji kudekezwa kwa sababu ipo siku itatunyima kiongozi safi na mwenye sifa zote kwa sababu tu si zamu ya dini yake.
Lakini kwa matusi yako, hufai kuwa mwalimu wangu naomba ubaki na siri na elimu yako ya juu!.
(Uelewa wa chini saaaaana. Ninajua kuna watu wenye IQ kubwa watakuja kuelewa nini nanasema lakin wewe hata sihitaji uelewe"), Kwa heri mkuu!
View attachment 241426
Dr.Slaa ndo raisi wetu mtarajiwa wasiomtaka wajiandae kuhama nchi .
Nchi hii haiwez kuongozwa na Padre hata siku moja.
Kuwa karibu na Gwajima kumemuharibia sana Slaa
Ndivyo anavyowadanganya Gwajima huko kanisani??
Teh teh teh
Kumbe ndiyo maana Dr Slaa anashinda kwa yule muhuni mwenzake gwajima anadhani anaweza pewa muujiza wa kuwa Rais wa nchi hii??
Teh teh teh.
Mmefeli kanisani kuongoza kondoo wa bwana mtaweza kuongoza nchi??
Nyerere alishindwa.
Mkapa ufisadi hadi anajiuzia migodi kwa bei ya kutupwa.
Kwenye escrow ndiyo usisemee hadi kanisa limechota pesa za walalahoi.
Hatari sana