Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Jaman hii nchi haina dini..kama muislam yupo anayefaa tutampa tena nafasi...tunahitaj maendelea sio kupangan zamu kwa dini zetu....if kuna muislam yupo na anafaa lazima apewe..tueshimu katiba
 
Kuwa karibu na Gwajima kumemuharibia sana Slaa
 
Nahisi Lipumba atawafaa zaidi UKAWA kuliko Dr Slaa... Sababu za msingi ni kuwa Prof amedhihirisha kuwa anaweza kuibadili nchi hii kiuchumi kwa muda mfupi zaidi ... Itaondoa mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wapiga kura ...
 
Tunakwenda Kuchukua Nchi Mwezi Wa Kumi Kiulaiini, Hiyo Ni Baada Ya Uvumilivu Wa Mda Mrefu.
 

Haya maneno mengine haya, ukiwa umekaa umetulia huwezi andika, unataka kusema kafiri cuf hatakiwi.
 


CUF chama kubwa?. Labda mie siishi Tanzania. CDM ilikopata ilitumia uchaga na ukristo?. CUF ilikuwa wapi kutumia unyamwezi na uislamu??.

Usichokoze ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.
 
Prof Lipumba usikubali nafasi hiyo kumuachia padre tena.

Nchi wataiharibu hii.

Mfumo kristu hauna nafas tena nchi hii.


Asante mkuuu labda akagombee madhabahuni lkn sio nchi kuongozwa na padre
 
Nahisi Lipumba atawafaa zaidi UKAWA kuliko Dr Slaa... Sababu za msingi ni kuwa Prof amedhihirisha kuwa anaweza kuibadili nchi hii kiuchumi kwa muda mfupi zaidi ... Itaondoa mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wapiga kura ...
Tunamuhitaji sana Lipumba lakini asiwe rais ila tutampatia uwaziri mkuu au waziri wa fedha
 
Utakua upo sayari ya mars unaota

Wafanya uteuzi kwa uangalifu otherwise ndo mwisho wa UKAWA maana wajue tu kwamba kwa upande wa CUF wanachama wameingia ukawa wa shingo upande
 
Kipindi hiki tunataka kuongozwa na Mchaga. So ni either Mbowe au Mbatia. Hao wengine wanazingua tu. Huoni Kanda ya Kaskazini iliyokaliwa na mchaga inavyong'ara kimaendeleo??. Take reference ya Mikoa yenye maendeleo kutoka kwenye research report ya juzi.
 
Ninakuomba sana sana uwe mwangalifu na statements zinazoweza kuchukuliwa vibaya zikaonekena ni sera za nchi na kutusumbua mbele ya safari. Kumbuka hapa, kama ilivyotanzania kuna matabaka mengi sana ya watu. Wapo wanaoweza kuelewa makosa na udhaifu wa msemaji, lakini wapo ambao hawajui kuchambua wao kila kitu wakikisikai kinasemwa hata kama kinavunja katiba na kisheria hakiwezekani, wanashika bango kwamba uliwaambia!. Gharama ya kuwarudisha kwenye msingi, ni kubwa kuliko watu kuzuia ndimi zao.

Tanzania haina utaratibu wa kuchagua viongozi kwa mtindo wa kubadilishana dini.

Hatumchagui mtu kwa dini yake kwa sababu hatutegemei kupata miongozo inayohhusiana na dini za watu. Tunauhuru wa kuchagua dini moja mfululizo ili mradi tunapata kiongozi sahihi anayehitajika na mwenye maono na uwezo wa kukidhi haja za watanzania.

Ingelikuwa ni dini basi hata Wabung wangebadilishana, madiwani, wenyeviti wa mitaa n.k. Kama iingelikuwa ni kanuni ya nchi, mbona zanzibar hawajawahi kuwa na kiongozi wa dini nyingine zaidi ya Waislam?

Tanganyika vile vile haijawahi kuwa na raisi wa dini zingine zaidi ya Wakristo na Waislam? Nani alikuambia kuna kupokezana kidini? Acha kabisa hizo itikadi. Kama ilitokea ilitokea coincidentally tu lakini haipo na hatuwezi kuiweka kuwa ni utaratibu unless tunataka matatiz.

Vinginevyo, ukiondoa hilo la mambo ya dini, naunga mkono hoja.


 
Lengo hasa la chadema ni kukiua kabisaa chama cha Cuf,naomba wanachama wajiangalie kwa umakini
 

Pdidy yule guide huyu hapa.

swissme
 
Ni kweli mkuu maana Waislamu wawili tayari, RC wawili sasa ni zamu ya dhehebu jingine, tumechoka kunyanyasika.

Hao waislam walikuwa wa madhehebu tofauti?? Watanzani ubaguzi wa nini? Tunachagua rais au imamu/mchungaji?
 
tatizo la slaa ni uzinzi

Nani asiye mzinzi tumpigie kura? Maana ukiwa unaishi nyumba ya kioo usirushe mawe. Miye namkubali Slaa kwa uadilifu ambaye aliona aweke upadri pembeni aoe, kwani kuna mapadri wangapi wamezalisha wanawake mitaani na hawajaukana upadri wao?? Si bora Slaa aliye mkweli?
 

Ukawa bila CUF ukawa itaathirika lakin CUF bila Ukawa nayo CUF kwa bara ndio itazikwa kabisa.

Kumbuka, kuna maeneo ya CUF, maneneo ya watu wanaofikiri kama wewe, ambayo Chadema ilikuwa haiwezi kupenya lakini ACT itapenya.Hakuna mtu tena anategemea CUF itarudi kuwa na nguvu bara kama ilivyokuwa 2000 mpaka 2005.

Ni muhimu kwa Profesa Lipumba kusoma alama za nyakati, hana options nyingi wakati huu bali ni kwenda na ukawa waongeze wabunge bar.Mengine watajipanga baada ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…