Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Namkubali sana slaa ila ccm kuiondoa ni ngumu sana! Labda kura zikahesabiwe Ughaibuni
 
namkubali sana slaa ila ccm kuiondoa ni ngumu sana! Labda kura zikahesabiwe ughaibuni

slaa mwenyewe muoga tu 2010 wakati wa matokeo ya urais alikimbia kujificha chini ya mwenge,kama alikubali kupima kwa nini aliogopa majibu?muoga tu na this time ccm hawana huruma nae kabisa watameza ukawa yote,
 
Duh maneno ya mwaka 2011 yanaishi mpaka sasa kuna watu JF they can predict Dr Slaa atambaZitto sijui kazikwa wapi masikini
 
slaa mwenyewe muoga tu 2010 wakati wa matokeo ya urais alikimbia kujificha chini ya mwenge,kama alikubali kupima kwa nini aliogopa majibu?muoga tu na this time ccm hawana huruma nae kabisa watameza ukawa yote,
Watu wanaoibukia Kuzimu huwa hawana kumbukumbu Dr Slaa aliombwa na viongozi wa dini , viongozi mashuhuri, mabalozi kuangalia mustakabari wananchi na kuvumilia ili wananchi wasiuane kulikuwa na maandamano ya wapatanishi wwaliokuwa wakienda pale Ufipa kwa makundi , ni jasiri na haja pata kutokea MTanzania mwingine jasiri kama yeye sio mwoga na maisha yake kayaweka rehani
 
Babu ikulu ataisikia katika maisha yake ni msindikizaji tu na msafisha njia kwa wengine wajao MBOWE NA MBATIA ila kwasasa ataangaika tu,hasiye hamini ataona oct,
 
DR SLAA NI JEMBE lenye uwezo wa kulima popote tz na duniani.........ATAPITA TU NA ASUBIRIE KURA ZA KISHINDO KUTOKA KWA WATZ

Wabunge wa kutosha hana ataajiri mahawara zake wote ikulu tangu alipo hasi kanisa na wale akiwa kainisani maana ndiko alikoanzia kutia nuksi madhabau ya mungu,
 
Natamani kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ili haki itendeke halafu tuone nani ni nani
 
Lengo hasa la chadema ni kukiua kabisaa chama cha Cuf,naomba wanachama wajiangalie kwa umakini

Wewe mwongo, wakati CUF INAKUBALIKA sasa kwa sababu ya CHADEMA, wewe vipi mkuu? ilikuwa imekufa ila sasa utaona Cuf iking'ara ndani ya ukawa, CHADEMA, NCCR, NLD wote watang'aaaaaaaaaa, kwa sababu ukawa ni mpango Mungu
 
Wabunge wa kutosha hana ataajiri mahawara zake wote ikulu tangu alipo hasi kanisa na wale akiwa kainisani maana ndiko alikoanzia kutia nuksi madhabau ya mungu,

Pole sn timu lumumba............buku zitakuua kwa presha.....MANENO KM HAYO IAMBIE FAMILIA YAKO SIO NJE YA HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…