Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015


Wakongwe , sharti tuwe na ngozi ngumu ,,,,,,
 

Na unajua tungekuwa na wanasherianTanzania saa hii Tume ingekuwa kko mahakamani na imebadili mwenendo.Lakini wanasheria wetu wamelala usingizi wanasubiria kuandamana na ile sentensi yao ya haki za binadamu yaani sijui niwaelezeje hawa wajamaa....
 
DR SLAA NI JEMBE lenye uwezo wa kulima popote tz na duniani.........ATAPITA TU NA ASUBIRIE KURA ZA KISHINDO KUTOKA KWA WATZ
 
Kuna hoja nimeiona humu jamvini inasema kuna mikoa uandikishwaji ulifanywa kwa haraka sana hadi waliotakiwa kuandikishwa hawakuandikishwa. Ngoja niitafute huo uzi nikutag.

Tatizo letu kubwa ni kutojua vipaumbele,hapa wanasheria wangekuwa busy kutafuta suluhu mahakamani ya haki za msingi za watu kuandikishwa siyo mpaka vurugu zianze.Vyama vya upinzani navyo naona kama tunacheza ngoma ya CCM bila kujua.Sielewi akina Lissu na Halima wako wapi kwenye hili.

Ni shida sana.Saa hizi huko bungeni kungekuwa na mkabano wa koo ili haki za msingi za watanzania ziheshimiwe.
 
ni kweli lkn ukishaona hivi usionyeshe mihasira yako huwa wanapenda sana wakigundua unamihasira ndo wanakuzidishia mwishowe utafana na FAIZA:confused2:

Ah!Wapi hawa wanadeserve dhihaka tu.Wala sina haja ya kuwatukana wapumbavu maana hawajui maana kamili ya UHURU WA MAWAZO.Huwa wanawatafutia watu BAN.Nimeshawajua naangalia sana maneno ninayotumia.Usiwe na hofu tutabanana humuhumu JF na kitaeleweka tu.
 
Ukiona Dr.slaa anasemwa hafai kuwa Rais,ni kwa wanachama wa ccm ambao wamezoea kunufaika na dili la ccm la kuiba,nyang'anya na kila aina ya ubadhilifu.

Mchwa walioko kwenye Halmashauri na Ikulu au kwenye wizara hawatamani kusikia jina la Slaa,hivyo tusiwashangae


Mchwa wa
 
Makongoro Nyerere kasema Ccm inaongozwa na vibaka
 

Bora mchwa wana faida maana wanalinda kumbikumbi wasipate madhara!Mende wana mabawa makubwa kama magwanda ya kaki ukiwashtua tu wanakimbilia chooni!
 

Kila unaekutana nae mshauri akajiandikishe ili tuzike cccm vizuri hapo October. Ukawa ni hareeee, Weraweraaaaaaaaa
 
Ukiona adui yako anakushauri jambo fulani liangalie mara mbili unaweza kuta anakuingiza chaka. Yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…