Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

[h=1]Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa?[/h]By Yericko Nyerere FEB 7-2014

“Kwanini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ni MWIZI anautajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?”

Ikumbukwe nikuwa hoja hiyo ya Mwalimu Nyerere ilikuja baada ya Lowassa na wapambe wake kukodi ndege binafsi kutoka Arusha kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya uteuzi wa urais mwaka 1995, kitendo hiki kilimfedhehesha sana Mwalimu na wazalendo wengine na hata kufikia kuliondoa jina la fisadi huyu nguli wa Tanzania,
Je leo utajiri wa Lowassa umekuwa halali?
Mamlaka ya mapato Tanzania inaweza kututhibitishia uhalali wa kodi alipayo mtu huyu?
Tangu afukuzwe uwaziri mkuu mwaka 2007 taarifa za kuaminika kutoka vyanzo muhimu nikuwa Lowasa alitenga 12bilioni kwaajili ya kujitakasa, ambapo mpaka leo hii ameshatumia 8bilioni, je pesa hii ameipata wapi? Imelipiwa kodi kiasi gani? Atairudishaje akiwa rais?
Ili kuhuisha mjadala huu hebu niwaeleze jambo mhimu dhidi ya mtu huyu aitwae Edward Ngoyai Lowasa,
Labda niwaelekeze watafiti watafute faili la EL la enzi za TANU pale Lumumba. Mzee Paul Sozigwa suala hili analifahamu fika.
Ndiyo, Mwl. Nyerere alichukizwa na tabia ya Lowasa ya kujitajirisha kwa kuiba mali ya umma. Lowasa, licha ya tuhuma za wizi enzi akiwa AICC, kujimilikiaha majumba ya Masajili wa Majumba wakati akiwa waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mijini, Mwl. Nyerere alikuwa akifahamu wizi wa Lowasa tangu enzi za TANU. Kati ya mwaka 1974 na 1977 Lowasa aliiba pesa za TANU alizopewa kusamia ujenzi wa ofisi ya TANU Arusha. Badala ya kujenga ofisi ya TANU Lowasa alinunua kiwanja na kujenga nyumba yake binafsi. Jambo hilo lilipogundulika mwaka 1982, lilimkasirisha sana Mwl hivyo kuamuru afukuzwe kwenye chama. Ni marehemu Edward Moringe Sokoine ndiye alimwombea msamaha kwa Mwl. Nyerere abadilishiwe adhabu. Edward Lowasa alipewa adhabu mbadala; kuhudhuria kazini Ofisi Ndogo ya Chama Mtaa wa Lumumba kila siku bila kukosa, kuwa kazini masaa 8 bila kutoka lakini bila kupangiwa kazi yoyote hadi Chama kingeona ametubu na hatimaye apangiwe kazi nuingine. Lowasa alitumikia adhabu yake hadi Sokoine alipofariki.
Hiyo ndio sababu kuu ya Mwl. Nyerere kumkatalia Lowasa kugombea urais.
Kikwete, Mkuchika, Twaa Khalifan, Kinana, Bagenda na Msekwa wanajua ukweli wotekuhusiana na jambo hili. Ila maadamu kwa sasa hakuna tena maadili ya uongozi wa kisiasa nchini Tanzania, Lowasa anaweza kuachiwa awatawale wezi, wala rushwa na mediocre wa nchi hii.
 
Jana Kasai pia makufuli zile Nyumba zetu aliwauzia wapenzi salsa vyombo vya habari vikitujuza Dr slaa aibua tuhuma Makufuli aliwauzia wapenzi Nyumba so anamwongzea EL ushindi
 
Slaa na mshumbusi kama kisa cha mfalme Ahabu na mkewe Yezebeli
 
Fisadi majukwaani mahakama si mnazo mfungeni kama mramba tatizo mlishiriki kufanya huo ufisadi sasa mmabaki kumuimba tu bahat mbaya lowassa hajajua kiitikio cha wimbo wenu
 
waache wampromote tu ci waliona aliwaaibisha songea may be watu wanaona magufuli kama kampeni manager wa lowasa.Istoshe wakati anaomba wadhamini aliwakusanya sana
 
Mimi sijui kitengo cha CCM kinafanya nini au wamelala usingizi gani.
Au labda ni ule usemi wa Mungu akitaka kukumaliza anakunyima mbinu/maarifa?
Maana anachokifanya Slaa ni kumpaisha Lowassa tu.
Mbaya zaidi nasikia wanataka kurudia mchezo huo kwa kumtumia mtu mwingine!
Sikio la kufa halisikii dawa hakika.
 
kwani Nyerere anagombea urais hata waweke bango lake?

kweli yamewabana.
kwanza ni walaghai - Mwl JKN hakuwai kuvaa shati la kijani po pote pale wakati wa uhai wake. Alikuwa ni mtu wa busara sana na anayeona mbali. Kama leo hii angekuwa hai, angempigia kampeni Lowassa kama makada wengine wa ccm wanavyofanya.
 
Dr anapoteza mda na kujizalilisha Watanzania wameshaamua tayari
 
Nadhani uelewa wako ni mdogo sana wa kupambanua mambo, au ni makusudi au ni ukibaka wa kwenye JF. liko wapi kosa la Dr. slaa? siku zote nzee ni msema kweli na ataendelea kusema kweli daima, tulio wengi ni wenye hali ngumu sana na tunahitaji kiongozi na si bora kiongozi, unajua nyie mnaochagua vyama ndo tatizo, cc tunahitaji kiongozi kutoka chama chochote kile, ila asiwe fisadi kama wa UKAWA, kampeni zao hadi muda hakuna anayeongelea swala la rushwa na ufisadi, unategemea nn hapo badae? kama mna makengeza endeleeni, lakini waelewa tumekwishastuka, na kwa kuwa mnajidai kwamba mmemsahau Dr.Slaa si siku nyingi mtamkumbuka kwa kusema ukweli na misimamo yake.

wee nae hata hutumii akili!?kama aliasi kanisa sembuse siasa??slaa ni fisadi na ni mlafii.



BUT UJUE KUWA LOWASSA NDIO RAIS WAKO
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa wamarekani **Whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone**.Na sisi tunasema, whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not CCM only. Mabadiriko ya kweli ni ndani ya UKAWA. Lowasa oyeeeeeee

Yeah, Tanzania ni yetu sote hamna mwenye hatimiliki!
 
Hata wafanyeje kura yangu in kwa Lowasa tu tena wakeshe kwenye TV zote hapa ukawa ni mbele kwa mbele
 
11987179_473820476133483_7108701768507289023_n.jpg
 
haa haa nasikia ccm wamepanic. wameanza kutumia polis kutisha wale wanaoweka mabango ya mh. lowasa. kwa mfano mkoa wa mbeya hakuna mabango mengi ya mh. lowasa. ccm ni chama dola iondoke tu.
 
Nadhani uelewa wako ni mdogo sana wa kupambanua mambo, au ni makusudi au ni ukibaka wa kwenye JF. liko wapi kosa la Dr. slaa? siku zote nzee ni msema kweli na ataendelea kusema kweli daima, tulio wengi ni wenye hali ngumu sana na tunahitaji kiongozi na si bora kiongozi, unajua nyie mnaochagua vyama ndo tatizo, cc tunahitaji kiongozi kutoka chama chochote kile, ila asiwe fisadi kama wa UKAWA, kampeni zao hadi muda hakuna anayeongelea swala la rushwa na ufisadi, unategemea nn hapo badae? kama mna makengeza endeleeni, lakini waelewa tumekwishastuka, na kwa kuwa mnajidai kwamba mmemsahau Dr.Slaa si siku nyingi mtamkumbuka kwa kusema ukweli na misimamo yake.

Kweli aliyoisema Slaa jana usiku STAR TV umeisikia? Amesema kwamba Magufuli alimwuzia hawara yake nyumba ya Serikali kwa bei ya kutupa, na hawara huyo hakuwa hata ni mfanyakazi wa Serikali! Ameongeza kusema kwamba yeye naye ni binadamu mwenye moyo wa nyama, hivyo kilichomuumiza hadi kumpa stress, ni kunyimwa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, ingawa alikwisha kuandaliwa hadi kupelekwa kuzuru majimbo ya Marekani. CCM, badala ya kujijenga, mnazidi kujimaliza kwa kumtumia mtu huyu mwenye stress!!!!!!
 
NI LOWASA TU. HAKUNA NAMNA MAANA TUMECHOkA SASA.
 
Katika.hali isiyo ya kawaidaa CCM baada ya kuona mabango ya Magufuli hayana mvuto wameamua kuyashusha na kujibu mapigo kwa kuweka mabangi yenye vijembe kwa Lowassa
attachment.php

Ccm bana badala waweke bango la makufuri wanaweka la marehemu.
 
Back
Top Bottom