Kitendo cha Dk. Slaa kuibuka hadharani kumezidi kumwongezea Lowassa na kupunguza umaarufu wa Magufuli.
Utafiti unaonesha kuwa Lowassa amekuwa akizungumziwa maeneo mengi sana ukianzia vijiweni, usafiri wa umma,bar, vijiwe vya kahawa,sehemu za michezo, misikitini,n.k.
Mjadala wa Lowassa na UKAWA umekuwa upo katika kiwango cha juu kuliko CCM na Magufuli.
Mbaya zaidi watu wamefikia hatua ya kuvaa vitambulisho wa Lowassa kuliko Magufuli, sasa hivi kila ukitembea baada ya hatua tatu njiani baada ya hatua tatu unakutana na mtu kamvaaa Lowassa.
Utafiti pia umeonesha hadi sasa kuna maeneo hapa mjini hawamfahamu mgombea uraisi wa CCM, wengi wanajua Lowassa.
Je, hali hii ikiendelea unadhaniCCM wataweza kupambana na UKAWA maana hadi sasa kuna watu ndani ya Tanzania hawafahamu mgombea wa urais.
Nini hatma ya CCM na Magufuli?