DAVID CAROL
Member
- May 18, 2014
- 97
- 10
Slaa na ccm yake wanapoteza muda wao
Mabadiliko?
Yaani hii kwa watanzania ni sawa na mwanamme uliyechuma na mkeo toka penye shida mpaka mkajenga karibu tu ya kuhamia ukaona hafai ukaamua kwenda sinza ukanyanyua malaya yoyote pale ili mradi watu wakuone na wewe umebadilisha madhara yake ni makubwa sana baadae
Bavicha Acheni kuhangaika.
Hii nchi sio ya majaribio.
Wamenikera kwa uonevu wanaoufanya kwa ukawa kwa kushusha mabango ya lowasa kwa visingzio mbalimbali, ccm Aachen uonevu Fanya siasa za kistaarabu.
Bavicha Acheni kuhangaika.
Hii nchi sio ya majaribio.
Yaani hii kwa watanzania ni sawa na mwanamme uliyechuma na mkeo toka penye shida mpaka mkajenga karibu tu ya kuhamia ukaona hafai ukaamua kwenda sinza ukanyanyua malaya yoyote pale ili mradi watu wakuone na wewe umebadilisha madhara yake ni makubwa sana baadae
Hakuna Ulofa na Upumbavu uliofanywa na Slaa kama kwenda kufanya kampeni za fitna dhidi ya Upinzani kwani ameonekana ni mwanasiasa wa hovyoooo kabisa!maana katika kitu cha kijinga nikuisafisha CCM ambapo ndiyo kuna genge la wezi kuliko huyu mwizi mmoja aliyejisalimisha polisi!
Umefeli na ujue baada ya siasa kina maisha!je wasipo shinda???utakuwa mgeni wa nani??Ila pole kwa kuwa LOFA NA MPUMBAVU.