Slaa ni living nyerere!!!

Hivi Nyerere alikuwa mwanasiasa wa kumzumgumzia ktk jamii ya wanasiasa????

Nyerere hakuwa na challenge yoyote za kisisa ktk kipindi chake, alizunguukwa na watu wachache wasioelewa, hakuwai kupingwa hata afanye utumbo, ukimpinga utafukuzwa nchi

Nyerere aliendesha nchi kama mzee wa kijiji, magazeti, Redio zote zinaimba nyimbo za kumsifu Nyerere, bora viongozi waliotangulia waliweza kupambana na fukuto la siasa sio Nyerere.

Anaepinga alete evidence ya uwana siasa wa Nyerere.
 
Back
Top Bottom