Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

Dokta anatoa taarifa za kusikitisha,Mh Mbowe amekamatwa na yupo rock-up Dar,mipango ya kumpeleka Arusha inafanywa.Mbowe amesema wanaChadema wasiwe na hofu.CHADEMA inampango wa kuishitaki Serika kimataifa,mengi yanakuja kwani Dkt Slaa amesema Chadema inabidi ivuke mipaka....
 
Dkt Slaa anahitimisha,anawataka vijana waitangaze na wahakikishd CDM inafika mpaka kijijini.
 
Dokta anatoa taarifa za kusikitisha,Mh Mbowe amekamatwa na yupo rock-up Dar,mipango ya kumpeleka Arusha inafanywa.Mbowe amesema wanaChadema wasiwe na hofu.CHADEMA inampango wa kuishitaki Serika kimataifa,mengi yanakuja kwani Dkt Slaa amesema Chadema inabidi ivuke mipaka....

sad news
 
Dr. Ameshaingia! Mbunge wa kiteto kafunika kwa hotuba yake fupi! Haka kanyimbo ka slaa anaweza kananipa mizuka sana! Likikatiza gamba lolote kwa mizuka hii naweza kulipa vichwa kama 100 vya pua

Hako Kanyimbo kalipigwa kwenye Kongamano la wanavyuo pale makuburi na Niliona wadada wengi wengi Machozi yakiwatoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom