Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa ndani ya chuo kikuu cha ardhi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, Jun 3, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazee dr.slaa kesho atakuwepo mitaa ya skanska hall(sorry kama nimekosea spelling),tegeta road akizindua chadema students organisation(chaso) tawi la ardhi university! Usafiri utakuwepo chuoni kuanzia saa 2 asubuhi! Karibuni, me ntaenda ili kuiwakilisha ardhi kimapambano and nione kama slaa anaweza kunishawishi ili nijiunge naye majeshi! Hadi wakati huu sipo upande wowote kichama tz
   
 2. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  All the best.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ningependa tu kujuwa jinsia yako, kuhusu swala la kwenda nakushauri usiende maana kama umeshindwa kumuelewa miaka yote 15 sidhani kama unaweza kumuelewa au kutomuelewa kwa masaa mache atakayoyatumia hapo chuoni.
   
 4. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hapo ndo kumekucha kafika mpaka ardhi kwa wasiopenda siasa
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  msituangushe nyie vijana wa archi.
  hivi ramani mnazochoraga zinafanyiwaga kazi? hivi nyinyi ndio mlichora ramani ya manzese? nyie kweli ni vichwa
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ahaaaaaa! Hapo kwenye ramani ya manzese umenifanya jioni hii nicheke sana!
   
 7. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama wasomi wengi wanamwelewa Dr. Slaa inakuwaje mzee mpaka leo bado unasisita? Inaonyesha wewe unashawishika hata kwa fedha maana hauna maumivu kabisa na shida za hii nchi. Hata kama siyo Dr. Slaa, kama msomi uliyeelewa nchi hii inavyoenda, unahitaji kuunga mkono upinnzani dhidi ya udhalimu utawala uliopo.
  Rudi moyoni mwako ufikirie vizuri maana wasomi ndo tunaowategemea kwenye upinzani na wajinga ndo mtaji wa magamba.
   
 8. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo Think tank ya ukweli!
   
 9. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ili mradi usiwe na magamba hadi machoni na masikioni maana unahitajika kuvua gamba kwanza.
   
 10. T

  Tolowski Senior Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee unamkumbuka yule aliyemwambia yesu sema neno 1 tu mwanangu atapona! Miaka 15 au maneno mengi ya slaa siyo ishu,may be neno lake 1 tu laweza kunigeuza 2morrow,may be! huwezi jua
   
 11. T

  Tolowski Senior Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ramani zetu zinapigwa chini!zinachukuliwa na wajerumani,wahindi...nk!wanaoelewa maana ya utaalamu
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii habari imeletwa na Tolowski, please do read it with 'care'
   
 13. T

  Tolowski Senior Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me ni he! Huo ushauri wako siyo! Hujui kuwa imani inakuja kwa kusikia? Haijalish umesikia mara ngapi, but imani inakuja taratibu! Si wengine ni akina tomaso
   
 14. T

  The Priest JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi kale katabia ka kuwanyima chadema halls ndani ya chuo kalikokuwa udsm kamehamia uclas pia?
   
 15. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kinachoitwa "sina upande wowote",who did u vote for in the last General Elections? Or u are among those people who didnt see a logic behind going for Voting?
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ivuga umekuaje?
   
 17. A

  ADAMSON Senior Member

  #17
  Jun 3, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanya uende kamskilize naimani hutojutia uamuzi wako utakaouchukua huyo kesho kikubwa nenda ukiwa huna mashaka hata kidogo
   
 18. T

  Tolowski Senior Member

  #18
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urais nilimpa slaa,ubunge nilimpa mnyika,and udiwani nilimpa jamaa wa chadema ingawa hadi leo hii simfahamu!
   
 19. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kumbe udhalimu uliopo unaujua alaf unaendelea kutomuelewa daktari!? Sasa unataka kumpa raman ajaribu kuipeleka ipite ndo ukubali au? Naumia sana nkiona ma graduate wanatembea na michoro na picha za mabox ya sanamu ya gorofa mjini. Au ata pale ubungo! Tolo,mkubali dokta japo ata kama tomaso! All the best wanaArdhi.
   
 20. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nakushauri usikose kufika, ukombozi wa watoto wako upo mikononi mwako sasa. Kumbuka upande wa pili fikira zao zimekuwa mgando, na mtaji wanaotumia ni ujinga wetu wanaoendelea kuupanda kwa kasi zaidi. Haingii akilini kuhamasisha watu kujenga shule, kisha ukagoma kupeleka waalim au ukapeleka kisha ukawakopa.
  Taarifa zilizopo, waalim wanaidai serikali mishahara, malupulupu ya safari nk, fedha zisizozidi 8 bln, lakini majuzi wametumia 45 bln za ununuzi wa mafuta ya IPTL kwa ajili ya umeme, na nusu ya hizo fedha zimetafunwa na wajanja. Zaidi, hiyo bln 45 haijajulikana imetoka vote ipi, na haikuidhinishwa na bunge.
  Mwanga upo kuangaza, na siyo kulazimisha kuangaza tafakari.
   
Loading...