Slaa, Mbowe au Zitto kuiwakilisha chadema 2015?

ni mapema ila ni vema tuanze kuwaza kua ni nani atasimama kuiwakilsha chadema kat ya slaa,mbowe na zitto!niambieni!
Haaah haah hahaaa! Wakuuu, Mmekurupuka kujibu swali na wote kwenda chaka. Haja uliza kuiwakilisha CDM ktk nini. Labda nikuombe mtoa mada u-specify kuiwakilisha CDM wapi, ktk nini? Au kwenye Mazishi ya Mzee wetu Bob?:confused2:

Lile Dume lenu Mwamba wa Kaskazini Lowassa ndio ana warm up kwaajili ya kuchukua form huko CCM ole wenu mjaribu kumpinga cha moto mtakiona

Halafu unajifanya hujui kuwa Lowassa ni CCM orijino? umechanganyikiwa na nyundo za Jangwani?
 
Halafu unajifanya hujui kuwa Lowassa ni CCM orijino? umechanganyikiwa na nyundo za Jangwani?
jaribu kumgusa muone!!!!! Nape na Jk wanamuogopa kama ukimwi mkimgusa ccm Inakufa dakika hiyo hiyo lowassa siyo rostam anatokea kaskazini
 
ni mapema ila ni vema tuanze kuwaza kua ni nani atasimama kuiwakilsha chadema kat ya slaa,mbowe na zitto!niambieni!

Hii thread haina maana yeyote kwa sasa kwani kuna mambo muhimu zaidi ya hayo Inawezekana hizi ni mbinu za magamba kugombanisha CDM ili waachane na vugu vugu la mageuzi. Ni vizuri tukaachana na hii hoja
 
Back
Top Bottom