Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Magamba mkisikia jina la Dr Slaa mnahaha!!!!!
 
Kama hata hii thread imejaza watu hivi !!! Maendeleo Tanzania tutakuwa tunayosoma kwenye magazeti tu. Sasa hapa iko wapi siasa? Umemuona babu tena kwa mbali? aaaah, great thinkers! Si bora hata ungepost sera moja ya chama kubwa CDM tukaanza kuijadili na ikiwezekana kuiboresha? Change begins with you!
 
CCM wana matatizo makubwa sana ya kiakili. Wanachagua mpinzani wa kushindana nae fainali. Zitto ni dhaifu ndio maana wanampigia chapua ila kwa Dr. Slaa wanaogopa mbaya mbovu!

So vumilieni tu, Zitto wenu hayuko ktk 10 bora za CHADEMA kwa post ya urais 2015. Kwa nini msimchukue au mumfadhili aende CHAUMA au NDC au CUF?

Dr. Slaa songa mbele Kamanda. Tanzania needs you most!
 
Picha ninayoipata ni kama waasi wameuzunguka mjini mkuu lakini Babu anatangaza kuishikilia nchi.Ni bora angatuke jahazi liendelee asisubiri kudhalilika.

Waasi kama ni hawa PM7 ,hawana chochote nafuu unaweza kuhofia panya kwenye nyumba kwamba wanaweza kula karanga na kuletea njaa kuliko athari ya PM7 ambaokweli ya dawa yao kwishney.Nguvu ya mamba kumayi tu ,nje ni mwepesi kama pamba.
 
Waasi kama ni hawa PM7 ,hawana chochote nafuu unaweza kuhofia panya kwenye nyumba kwamba wanaweza kula karanga na kuletea njaa kuliko athari ya PM7 ambaokweli ya dawa yao kwishney.Nguvu ya mamba kumayi tu ,nje ni mwepesi kama pamba.
Na ukitaka kuijua shughuli ya mamba tia mguu wako mtoni.
 
leo naona mmeingia kazini mapema saaana au nape kawapa laptop mfanyie kazi nyumbani..... may mmeanzisha night shift.

jamani daa jf hainiboi hata hamu ya chakula spatagi, haya huwa unayapeleka kwenye viapo vya tunguli bada hapo unayafanyisha kazi unavopenda na huwaga yanapenda sana ofa si umeona yamekili yenyewe pm7 ko usku mchana yapo kazini
 
Dr slaa hana sifa ya kuongoza Tanzania?Haja jipanga hata ongea yake utadhani kiongozi wa waasi anae vuta bangi!

duu maongezi yako tu yani we ni mla unga yani we teja nafikiri mwonekano wako utakua kama mtoto wa watu
 
Ushauri mwingi umetolewa humu juu ya uwezo na future ya ZZK kama bado anatamani kuendelea kisiasa katika ardhi ya Tanzania.Kwanza Muhim kwa ZZK na Masalia wajue kuwa humu ndani ya jf support yao ni zero kabisa,wanaingia wengi ni waelewa na wasomi wazuri ambao kwa kiasi kikubwa ushindi wa ZZK na Masalia ni -1.%,Hivyo kuendelea kupeana mikakati ya kusambaratisha CHADEMA,viongozi waandamizwi wakuu,DR Slaa na Mbowe kwa kukesha kwenye jf ni mkakati mfu.Kwa upepo wa sasa ZZK kustawi akiwa CHADEMA ni sawa na ngamia kupita tundu la sindano,kwa hiari yako jiunge uke CHAUMMA au nenda ADC naamini pia CCM unatumiwa tu na hawa wachache kama condom lakini baadae utatupwa. UZURI NA UTAMU WA MCHEZO WA INTELLEJESIA NI KAMA HUO WA BEN SAANANE, ENZI ZA MWALIMU INTELLIJENSIA YA NAMNA HII ILITUMIKA SANA KUPIMA UAMINIFU NA UTIIFU WA WATU KWA VIONGOZI NA WATAWALA WAO, NA WATU WOAVU WENYE TAMAA KAMA ZZK WANAKAMATWA KIRAHISI
 

acha ushamba wewe mbona unatujazia server tu kwa maneno ya vigagula wa zitto
 

Mziz wa Mbuyu asante kwa kuona ilo! Nape alikuwa anavaa nepi wakati Dr alipokuwa ccm na hajarithi weledi wowote toka kwa babake labda kupiga gitaa tu!
 
Mtu mzuri ni mzuri tu huwezi kumchafua hata kidogo utachafuka wewe tu!!! Go go Slaa wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…