Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

WATANZANIA Wanaakili kuliko Mafisadi, Najuwa Mtatumiwa sana ili waendelee kushika nchi, lakini Njaa, Magonjwa, Kukosa Makazi na Hali Duni ya Kiuchumi kwa watanzania walio wengi ni somo tosha kuwa sasa siyo muda tena wa mafisadi na vibarako wao. CHADEMA TUMEJIZATITI KWA HILO, In God We Trust! Peoples Power.
 

Mmechoka ww na nani mkuu?
 
Ama kweli! hao wanaoing'ang'ania ccm lazima wana maslahi binafsi so ni vigumu mno kulikubali vuguvugu hili la mapinduzi,tusiwasikilize.
 

Roho itakuuma sana na bado anayependwa na wengi ndio chaguo la mungu hata kama hutaki habari ndio hiyoo..
 
Ama kweli! hao wanaoing'ang'ania ccm lazima wana maslahi binafsi so ni vigumu mno kulikubali vuguvugu hili la mapinduzi,tusiwasikilize.
 
Acha kupotosha watu amesema kadi ya ccm alilipia kwa mara ya mwisho mwak 1995 alipoomba ubunge kupitia ccm
 
Nakukubari Dr. W.P.Slaa ndio kila ninapofundisha hapa chuoni kwetu ni lazima nikujengee taswira chanya kama ulivyo. Wewe ni mtu pekee unayeweza kututoa hapa tulipo nasa kwa sababu unaweza kusimamia nidhamu. CCM Wametufikisha hapa kutokana na kuruhusu nidhamu kutoweka na kukumbatiana kijngajinga. Wewe ndio tumaini letu. Masalia tumewafahamu na tutawashughulikia kwa nguvu ya umma.
 
Kweli magamba wataendelea kumchukia dr slaa sana tu. Dr. Slaa yupo fiti sana kama katibu wa chama kwani magamba wamebadili makatibu watatu ili kupambana naye. Magamba waliunda mpka kitengo cha propaganda nacho kimevunjwa baada ya kumshindwa dr slaa. Sasa kabeba jukumu hilo junior nnauye kwa pesa za kutoka ikulu, sorry kwa mwenyekiti. Mwisho wa siku naye atapumzishwa tu. Naamini kuwa dr hana price tag ndo maana wanahaha kwa kila mbinu.
 

Tumechoka umechoka wewe na nani?usitake kuwaingiza maneno kinywani watz,watz wa leo wanajua wanachofanya kazi ipo kwako wewe zumbukuku uliyelala usingizi wa pono kapange foleni lumumba kuchukua posho yako ya leo wenzako wanachukua.
 
Huyo dingi huwezi kumfananisha na wendawazimu wa magamba,hakurupuki kutoa maelezo na anadhani ni mwalimu mzuri kwa viongozi watajiwa kutoka kambi ya upinzani.
 
Tumechoka umechoka wewe na nani?usitake kuwaingiza maneno kinywani watz,watz wa leo wanajua wanachofanya kazi ipo kwako wewe zumbukuku uliyelala usingizi wa pono kapange foleni lumumba kuchukua posho yako ya leo wenzako wanachukua.
We ulijuaje kama kuna posho?
 

We nawe umeng'ang'ania hilihili tu. Sio FB jana alilileta hapa na watu hawajamwelewa. Na wewe kamwambie hatujamwelewa.
 

AA Dr.Slaa raisi wangu wa ukweli. Watu hawakupendi huku. Hahahahaha. Naona kaka unatamani uvunje TV hapo!!
 
nimekubali kamanda



 
Mabosi wake wa zamani ambao ndio walikuwa wanampa mashiko wameshamtosa sasa hivi waamuandaa mwadilifu mwingine ndani ya CCM subirini muone atakavyo anguka mwanguko wa mende, hana kitu Silaa anzeni kurudisha kadi zeu mapema.
 
Kidogo napata matatizo kwa nini msukumo wa kwamba Dr Slaa hafai unatoka CCM na sio CHADEMA? Kwani CCM inahofia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…