Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Mkuu
Hao wanaitwa Lumumba Buku saba(LB7)!
Wasikubabaishe kabisa!Wanalipwa ili kutetea uongo,hiyo ndio kazi Yao!Kwa hiyo nakushauri uendelee kuwa positive na kusimamia ukweli!MaanaUKWELI utakuweka HURU!
Achana na hawa KENGE ambao wako tayari kuuza UKWELI kwa sababu ya njaa!
CCM HAIKUBALIKI,UNGANA NA WAZALENDO KUITOKOMEZA!
Muongo mimi au Kibabu kilichosema kitawashika na kuwafunga jela tena watu waliokwishahukumiwa na kutumikia adhabu!