Hakuna mahusiano kabisa na ukweli wa kwamba washirika wa Kikwete kwenye kupora fedha za BOT-EPA wana enjoy maisha wayatakayo, bila soni nenda magerezani soma ripoti ya jaji Kisanga na Manento wafungwa na watuhumiwa wanavyokaa magerezani bila hata kesi zao kusomwa na wale wenye kesi za kuku wanavyofungwa vifungo virefu
Kam viroba na gongo vinamsaidia kwa kiasi anavyotetea maslahi ya nchi basi na aendelee kunywa sasa walevi wa rushwa wenye kuhongwa suti na kuuza nchi, ndio unaona wanastahili
Naona siku hizi JF sio kujenga hoja ni matusi na dharau.........jadilini ni vp Mwizi wa bilioni kadhaa anaachiwa huru ndani ya miezi sita sio kumsimanga Slaa,mara kibabu mara Sijui gongo imefanya nini.........tuna shida nyingi watz kwanini mtu apore fedha zetu halafu mshabikie kuachiwa kwake huru bila maelezo ya msingi.......tuamkeni watz tusiwe tunatetea vitu visivyo na msingi huku jamii yetu ikiangamia kwa ukosefu wa elimu bora na matibabu bora ya afya......
Hivi slaa anaweza kumnyoshea kidole mtu kwa lolote sibora akae kimya tu kwanza aone aibu kama aliweza kukosea kanisania tena dhambi kubwa kiasi hicho atashindwa nini kuwatendea dhambi binadamu.
Mkuu, Mbona DR SLAA na MBOWE wanatafuna sana fedha za walipa kodi na bado mnawashangilia? pia DR SLAA anapora wake za watu na bado mnampigia makofi. huo si ufisadi?
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!
Kwani hayo majina hadi yanapelekwa kwa jk unadhani hakuwa na taarifa? Unadhani jina la babu seya lingekuwepo angepitisha? Majina lazima yahakikiwe, tiss wanafahamu na wanamjulisha jk.
Hivi slaa anaweza kumnyoshea kidole mtu kwa lolote sibora akae kimya tu kwanza aone aibu kama aliweza kukosea kanisania tena dhambi kubwa kiasi hicho atashindwa nini kuwatendea dhambi binadamu.
mbona forum hii imekuwa ya kitoto hivi?mada mezani ni rais kuwasamee wa epa,sasa hayo ya slaa mara mbowe,mara sijui gongo, ya nini sasa.
hizi simu za january makamba zinaiaribu forum.kwa nini jk ametoa msamaha kwa wezi wa pesa za umma? ina maana hakuna wafungwa ambao walisyahili masamaa huo? hapo kuna kitu bana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.