Slaa: Jakaya Kikwete ana mkono EPA

Slaa: Jakaya Kikwete ana mkono EPA

Mkuu, Mbona DR SLAA na MBOWE wanatafuna sana fedha za walipa kodi na bado mnawashangilia? pia DR SLAA anapora wake za watu na bado mnampigia makofi. huo si ufisadi?

unechekesha yaani tuamini tuu kwa sababu unatuhumu,mbona hutaji michago yao ya pesa na mali waliyowekeza kwenye chama Dr Slaa na wake zake ni maisha yake wote wale watu wazima walipenda kuwa sehemu ya maisha yake angalau yeye tunawajua hao wawili jee wale waliofunga familia nzima jela kwa sababu ya mapenzi unawasemaje
 
We muuza maji div 5, unaushahidi? Halafu we kazi huna kwa uduni wako wa elimu halafu unamchukia kikwete!

kwa hiyo unataka wafanye lolote tu na sisi tukae kimya kisa hatujasoma??? pambafu sana ngedere wewe! mtu aliyekwiba mabilioni anapewa msamaha? hii ipo tz tu!
 
Mkuu, Mbona DR SLAA na MBOWE wanatafuna sana fedha za walipa kodi na bado mnawashangilia? pia DR SLAA anapora wake za watu na bado mnampigia makofi. huo si ufisadi?

two wrongs do not make it wright
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

Hicho ki Babu konafurahisha misukule yake tu!

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Naona siku hizi JF sio kujenga hoja ni matusi na dharau.........jadilini ni vp Mwizi wa bilioni kadhaa anaachiwa huru ndani ya miezi sita sio kumsimanga Slaa,mara kibabu mara Sijui gongo imefanya nini.........tuna shida nyingi watz kwanini mtu apore fedha zetu halafu mshabikie kuachiwa kwake huru bila maelezo ya msingi.......tuamkeni watz tusiwe tunatetea vitu visivyo na msingi huku jamii yetu ikiangamia kwa ukosefu wa elimu bora na matibabu bora ya afya......

watu wanaamua kupotosha hoja ya msingi kwa makusudi kabisa,ndio maana mimi binafsi naamin ccm ni tatizo kubwa sana hapa nchini,inatufanya tuanze kuamin kuwa ktk nchi yetu hii kuna mataifa mawili kwa sasa,swali la msingi hapa ni kujiuliza hapa ni kuwa 3.8 bilioni zitarudi au jamaa baada ya kukaa jela miezi 4 ndio imetoka hiyo,any way huu nao ni upepo tu,lazima utapita
 
Mkuu, labda ni urais wa wazinzi na wanywa gongo tu. Hata urais wa ukoo hataupata

Mkuu mtabakia kwenye majadiliano ya Kibabu na Gongo, Wazinzi kwa wake za watu nk; wenzenu wanachanja mbuga! Jitatathminini! Jiratibuni! Tehe!:dance:
 
Mkuu, Mbona DR SLAA na MBOWE wanatafuna sana fedha za walipa kodi na bado mnawashangilia? pia DR SLAA anapora wake za watu na bado mnampigia makofi. huo si ufisadi?

Sasa hiyo serikali yako ya CCM kazi yake ni nini kama inashindwa kuwakamata na kuwafungulia mashitaka wahalifu?? Hii ndiyo dalili tosha kuwa serikali ya CCM wameshindwa kazi!!
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!
Hongera Mkuu usichoke kuwafumbua macho hawa misukule.
 
Huyu BABU umri umeshasogea, inatakiwa astaafu siasa, maana Takwimu zinaonyesha umaarufu wake unaporomoka kwa kasi kubwa sana.
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

kwahiyo wewe unaona sawa tu hapo waliochiwa na kuib ahayo mabilioni? kama ww sio ndugu au ulifaidika basi utakuwa ni moja kati ya mambumbumbu yasiyojitambua na yaliyolewa ushabiki
 
watu wanaamua kupotosha hoja ya msingi kwa makusudi kabisa,ndio maana mimi binafsi naamin ccm ni tatizo kubwa sana hapa nchini,inatufanya tuanze kuamin kuwa ktk nchi yetu hii kuna mataifa mawili kwa sasa,swali la msingi hapa ni kujiuliza hapa ni kuwa 3.8 bilioni zitarudi au jamaa baada ya kukaa jela miezi 4 ndio imetoka hiyo,any way huu nao ni upepo tu,lazima utapita
Kaka Kawaida ya Shetani kumtetea Shetani mwezake,Ulitegemea Shetani jk Amfunge Shetani mwezake Ajay Somai ambaye ni Mwizi mwezake wa EPA hilo halitatokea kamwe.(Heri kusikiliza Laumu ya wenye Hekima;kuliko mtu kusikiliza wimbo wa WAPUMBAVU.) Kwa -------- Yeyote yule Lazima aunge mkono maamuzi hayo ya kipumbavu kuachiwa Mwizi wa EPA.
 
Unazungumza usichokijua.
Ukiwa na Rais mwizi anayetoka kwenye chama cha wevi kama CCM, utegemee kuwa hata hao wajumbe wa hizo kamati wanaopendekeza majina ya nani wapewe msamaha wa Rais watakuwa ni wevi wenzake, mawaziri atawateua wevi wenzake, wakuu wa mikoa na wilaya watakuwa ni wevi wenzake, n.k.

Kikwete japo ni binadamu lakini matendo anayoyafanya kama haya ya kuwatoa wevi wa rasilimali za Taifa, anatia kinyaa; na katika historia ataingia katika orodha ya Marais wa hovyo kabisa ambao Taifa limewahi kuwa nao. Natamani huu mwezi ungekuwa muda wake wa mwisho wa Urais.

Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!
 
Kaka Kawaida ya Shetani kumtetea Shetani mwezake,Ulitegemea Shetani jk Amfunge Shetani mwezake Ajay Somai ambaye ni Mwizi mwezake wa EPA hilo halitatokea kamwe.(Heri kusikiliza Laumu ya wenye Hekima;kuliko mtu kusikiliza wimbo wa WAPUMBAVU.) Kwa -------- Yeyote yule Lazima aunge mkono maamuzi hayo ya kipumbavu kuachiwa Mwizi wa EPA.

wewe ni div 5
 
Unazungumza usichokijua.
Ukiwa na Rais mwizi anayetoka kwenye chama cha wevi kama CCM, utegemee kuwa hata hao wajumbe wa hizo kamati wanaopendekeza majina ya nani wapewe msamaha wa Rais watakuwa ni wevi wenzake, mawaziri atawateua wevi wenzake, wakuu wa mikoa na wilaya watakuwa ni wevi wenzake, n.k.

Kikwete japo ni binadamu lakini matendo anayoyafanya kama haya ya kuwatoa wevi wa rasilimali za Taifa, anatia kinyaa; na katika historia ataingia katika orodha ya Marais wa hovyo kabisa ambao Taifa limewahi kuwa nao. Natamani huu mwezi ungekuwa muda wake wa mwisho wa Urais.

huna, unaongea kwa assumptions, hizo ni gutter politics! Weka facts namna kibabu kitatumia procedure ipi ya kimahakama!? Je ni application for chamber summons? Revision or mandamus, or what?
 
Back
Top Bottom