Slaa: Jakaya Kikwete ana mkono EPA

Slaa: Jakaya Kikwete ana mkono EPA

Mbele ya system iliyo corrupt, hii unayosema wewe sijui Parole Body na hiyo Autrofois Convict/Aquit haina maana yoyote,vinakuwa non function!!.

Defenetely Yes inawezekana,analolisema DR W.P.SLAA si tu kwa hao wafungwa waliosamehewa kiaina na kimtindo na mwizi mwenzao (JK na CCM yake wote ni wezi tu) kupitia EPA, hata Rais mwenyewe anaweza kufikishwa mahakamani na kufungwa pia!!

Eti,umeuliza kwa sheria ipi!!? Huwezi pengine kuipata sheria hiyo/hizo chini ya utawala wa CCM,kwa sababu wote ni ma - "blind"....lakini zipo zinakuja chini ya utawala wa wengine wenye akili na wanaotaka kuifufua nchi hii,na hata hizo ambazo hamzioni sasa kwa sababu ya kuwa vipofu chini ya CCM,itafika time yake mtaziona na mtawaona hata wale ambao hawajawahi kuziona jela hata kwa mbali tu wakiingia huko kabisa na kulipia uovu wao walioufanya kwa mwavuli wa "UTAWALA!!"......

Trust me, saa na siku yaja ambayo kila ovu lililojificha chini ya busati, LITAFUMULIWA na kuwekwa wazi. HAKUNA MAREFU YASIO KUWA NA MWISHO!!

He! Huu utakuwa u dikteta mpya basi! Yaani utunge sheria mpya, umkamate mtu kwa sheria mpya na umuadhibu kwa kosa alilotenda ndani ya sheria ya zamani! Yaani utakuwa ni zaidi ya Hitler!
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

Empty headed person kumbe bado wapo. Aah samahani nimepitiwa tu.
 
Tena asahau jk hajakurupuka kutoa msamaha

Huwezi mtoa mfungwa aliyebeba mwonekano kama kaliibia Taifa hata awe ndugu yako

Rais Bush wakati anaondoka madarakani alikuwa na uwezo kisheria wa kumuachilia rafiki yake Libby na Skilling lkn hakuthubutu kufanya hivyo maana kesi zao zina mvuto wa kitaifa!
 
Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

Hujui lolote wewe na heri ukanyamaza tu kuliko kujipa aibu hapa!

Rais ana uwezo kisheria kukataa hoja za parole body na Rais kisheria hata kama mfungwa hajapendekezwa kuachiwa na parole body yy anaweza muachia!

Wezi wa mali zetu kama hawa why wanaachiwa?Au kwa vile alimfadhili 2010?
 
Huyu mzee kachanganyikiwa sasa hizo epa alizofanya chadema na kanisani hazioni anakuja kumdandia jk hii gongo aliyoanza kuzalisha hii balaa sijui kama itawaacha salama hiyo gongo.

Hauna hoja bali vioja tu!
Why mwizi wa mali zetu aachiwe kwa vile alimfadhili JK ndiyo hoja hapa!!!
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

Mhujumu uchumi anasameheka kirahisi hivyo. Kuna siku Mungu atashuka ktk nchi hii aongee na hizo kamati live, mweeh!
Tizama huduma za afya kuna watu pale Muhimbili wamepoteza maisha na wataendelea kupoteza maisha kwa uduni wa huduma ya afya, ukosefu wa vifaa, masilahi duni kwa watoa huduma, wagonjwa wanalala chini nk.
Kuna siku mawe pia yatasimama kuhoji hizo kamati mizigo.
 
Kweli kibabu ni kimechanganyikiwa! Hivi unadai utawakamata watu waliosamehewa magereza na kuwafunga tena! Acha uongo na kutafuta cheap popularity! We utawarudisha kwa sheria ipi? Unajua maana ya Autrofois aquit na autrofois convict? Mbona kizee kinakuwa kiongo namna hii! Na Jk anapotangaza msamaha,kuna kamati na parole body ambayo ndio inachambua kwa ngazi ya wilaya hadi kata kulingana na matatizo aliyonayo mfungwa, hapo Jk anahusikaje? Jamani ndio maana upadri umekushinda we mzee kwa uongo!

jaribu kuwa na heshima japo siyo sehemu ya maisha yako.
 
Mkuu, Mbona DR SLAA na MBOWE wanatafuna sana fedha za walipa kodi na bado mnawashangilia? pia DR SLAA anapora wake za watu na bado mnampigia makofi. huo si ufisadi?

Ooh, kumbe kupora mke na kuitia nchi hasara ya 2b ni sawa! And kumbe JK ni malaika eennh.. wala hagusi wake zawatu..!! 😕
 
Dr Slaa anateswa na mzimu wa kupora wake za watu. ndo maana kutwa kucha yeye kazi ya kuwasema wanaume wenzake tu

Hivi ninyi mna nchi yenu ingine au ni hii inayoporwa na wahuni.

Jamani ihurumieni nchi hii. Tunachekwa na wenzetu majirani.

Jj.Mnyika hukukosea uliposema rais ni dhaifu.
 
Mkuu mbumbumbu wewe na jinsi ulivyotamalakiwa na Slaa na Mbowe kiasi cha kupokea kila uchafu na takataka kama septic tank! Hujui kuchambua uongo na ukweli bora kasema Babu! Funguka usiwe mtumwa wa binadamu wewe! Ndio maana mungu kakupa kichwa, ubongo,macho na masikio uvitumie kutafakari na usisukumwe na mihemko. Ni kweli watu wanahitaji maendeleo tena sana lakini,sio kwa kudanganya umma! Mi nimesema atatumia procedure gani kuwafunga tena? Mbona swali rahisi! Au ataamua kuwa dikteta sasa kila anayemtamani kumshika basi anakamata na kuweka kusikkojulikana!

Si rahisi kuanza kunya kabla ya kula, kab;a hujaukana umbumbumbu wa ushabiki na kutokujitambua jiulize kwanini wameachiwa? kwanini wao? na iweje baadhi watumike kifungo cha miaka 11 kwa miezi 3 nakutoka? anyway, atawakama na kuwafunga tena yeye atakuwa ndiye mkuu wa nchi hata ikibidi kutumia udikteta kwa msalahi ya nchi inatafaa tuu so, acha kulete sera na mikango mkakati wakati nchi inaliwa...
 
He! Huu utakuwa u dikteta mpya basi! Yaani utunge sheria mpya, umkamate mtu kwa sheria mpya na umuadhibu kwa kosa alilotenda ndani ya sheria ya zamani! Yaani utakuwa ni zaidi ya Hitler!

Na mimi nadhani ajaye ni lazima awe zaidi ya "HITLER" kurekebisha haya,..........kuyarekebisha mambo yaliyoparanganyika chini ya utawala wa kuanzia kwa Mkapa na kupokelewa na JK MRISHO ktk mstari!!
 
Back
Top Bottom